Kova anajisiaje kuhusu mgomo wa waandishi wa habari.

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Sulemani Kova amezoea sana kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa. Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika habari za Jeshi la Polisi, Kova atakuwa kwenye hali gani?
 
Ni mwendelezo wa ile sinema yake imefikia sehemu ya kimyakimya, baadae kidogo atatumia waigizaji wengine.
 
Sulemani Kova amezoea sana
kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu
kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa.
Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika habari za Jeshi la Polisi, Kova
atakuwa kwenye hali gani?

Watawatafuta waandish wao (waandish wa jeshi kama ilivyo kwa madaktari wa jesh pia)
 
Sulemani Kova amezoea sana kuita waandishi wa habari na kutoa taarifa mbalimbali za kuhusu kukamatwa kwa majambazi na kuonesha silaha/bunduki zilizokamatwa. Kutokana na mgomo wa waandishi kuandika habari za Jeshi la Polisi, Kova atakuwa kwenye hali gani?

Waandishi wakisusa kuandika habari za polisi, watakaoathirika ni wananchi.
 
Haezi jisikia chochote sana sana ataendelea kupiga kazi kama kawa na nyie mtakufa na njaa zenu kwa kuendekeza hao wauaji Chadema
 
Ni ngumu sana kugomea kuandika habari za jeshi la polisi kwa sababu wote polisi na waandishi wa habari ni watumishi wa jamii.

Sasa sijui waandishi wa habari watauchora wapi mstari tenganishi dhidi ya hizi ni habari za jeshi la polisi na hizi ni habari za raghba kwa jamii.
 
Back
Top Bottom