Foleni ya jana mwenge-ubungo-kimara-mbezi

NKANOELI

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
203
61
Jamani naomba wahusika waifanyie kazi kero tajwa hapo juu,kwa week hii foleni imekuwa too much.polisi waliowekwa pale ubungo hawana uzoefu na foleni husika.ushauri wangu wazoefu warudishwe.
Naomba kuwasilisha.
 
sidhani kama suala ni uzoefu wa traffic polisi waliopo sasa, issue ni kazi ya matengenezo ya barabara ya magari yaendayo kasi inayoendelea kati ya kibo na kimara.
Jamani naomba wahusika waifanyie kazi kero tajwa hapo juu,kwa week hii foleni imekuwa too much.polisi waliowekwa pale ubungo hawana uzoefu na foleni husika.ushauri wangu wazoefu warudishwe.
Naomba kuwasilisha.
 
me nalalamikia foleni kwenye barabara ya Kinondoni road yaan kutoka manyanya mpaka salender bridge.wiki hii foleni imekuwa kubwa sana mida ya asubuhi magari hayaendi kabisa.nashauri wale polisi wazoefu warudishwe jamani
 
Back
Top Bottom