I hate nbc bank services at coperate branch

Mkwai

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
306
96
Ni masaa manne toka nimeingia benki, nasubiria cheki ihakikiwe, sababu wananiambia kwa kuwa cheki ni ya tawi lingine. But 4 hours and I'm still waiting?? Muda ambao ningetumia kwenda kurudi kwenye tawi la cheki hiyo is less tha 2 hours, I still dont understand what is holding my check, everytime i am asking, they are telling me to wait. .... :angry:
 
wapige pande uone jinsi gani wapo fasta kukushughulikia - rushwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nadhani wamekosea kwa kutokuambia usubiri kwa muda gani ili ujue altenative ya kufanya.
Cheki sometimes ni sawasawa na pesa kwa hiyo inabidi ihakikiwe kwa umakini hasa ikitokea kwa case kama yako ya branches tofauti. Ni procedures zilizowekwa ili kupunguza wizi kupitia kwenye mabenki.
 
...lakini kila siku wanatuambia branches zao zote ziko "online"...au ni hoja ya kuuzia tuu?..Huduma za mabenki yetu bado saana, .....na unaweza kuta hakuna hata mtu anayefuatilia ila unapigwa story tuu
 
Hiyo bank nilishawakimbia siku nyingi sana. Huwa nikiona mfanyakazi wa nbc nasonya 2! Uharo mtupu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii bank customer care ni sifuri kabisa.Hakuna hata sehemu za kukaa wateja.Kwa nini wasiwaige wenzao wa CRDB.Mimi binafsi nilikwenda kumlipia bwanamdogo ada ya shule NBC tawi la Ubungo kwa kweli nilisimama mpaka miguu iliniuma nikaapa sintakaa nifungue akaunti kwenye hiyo bank au kumshauri jamaa yangu kuwa na akaunti kweny hiyo bank.
 
Back
Top Bottom