I.G.P aliye wahi kuwajibika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba IGP aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. Hapo ndo akapona lakini angijua Segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera,jaji Kalegea naye yumo.
 
Kwa huyu tuliyenaye, tusitegemee. Bali tutarajie uongo utakaopikwa kwenye ripoti yao ya uchunguzi (TUME????).
 
Abdulla Aziz ndo nakumbuka i.g.p aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba i.g.p aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. hapo ndo akapona lakini angijua segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera.jaji Kalegea naye yumo. Mia

Anaitwa Hamza Aziz mtoto wa Aziz Ali mpigania uhuru wakaz wa mwanzo wa mton that's why panaitwa kwa aziz ali
 
IGP Said Mwema na Waziri Nchimbu watasingizia kuwa watu wote wanaouawa ni kwa sababu ya kupigwa na vitu vigumu vyenye ncha kali!
 
Mimi nakumbuka kuwa pamoja na ripoti ya daktari alipogonga alichelewa kutoa ripoti polisi hadi asubuhi inayofuata. Na kama kiongozi mkuu wa jeshi hilo ni kosa kubwa
 
Abdulla Aziz ndo nakumbuka i.g.p aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba i.g.p aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. hapo ndo akapona lakini angijua segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera.jaji Kalegea naye yumo. Mia
hivi kikitoka cheo cha u i.g.p kinakuja cheo gani ili tumpandishe igp mwema?????
 
Familia ya akina Hamza Aziz ilishiriki sana katika siasa za ukombozi wa Tanganyika.
 
Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba IGP aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. Hapo ndo akapona lakini angijua Segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera,jaji Kalegea naye yumo.
umesema kipindi cha mwalimu ndo jamaa aliwajibika. sasa wewe kama unamfananisha jk na nyerere utakua umekosea sana. kipindi kile watu walikua wanawajibika mfano mzee wa ruksa [mwinyi] aliwajibika alikua waziri. siku hizi huyu jamaa anacheka cheka tu..
 
tusubiri ripoti na hatua zitakazo fuata, hapo ndipo tutakapojua mbivu na mbichi.
 
Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba IGP aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. Hapo ndo akapona lakini angijua Segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera,jaji Kalegea naye yumo.

Mzee Ruksa, Rais mstaafu awamu ya tatu pia aliwahi kuwajibika wakati wa Nyerere. Sasa je kuwajibika kwa viongozi wa serikali wa ngazi za juu zinatokana na leadership? Hivi kwa JK kuna kiongozi wa juu amewahi kuwajibika mbali na 'ajali ya kisiasa' ya Edward Lowassa?
 
Back
Top Bottom