USAFIRI NZEGA - TABORA BALAA TUPU (Tsh 12,000 - 15,000) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USAFIRI NZEGA - TABORA BALAA TUPU (Tsh 12,000 - 15,000)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by makwimoge, Sep 6, 2012.

 1. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijua mamlaka zinazohusika zimelala usingizi gani yaani maTrafick na EWURA.umbali wa hapa Nzega-Tabora ni KM 116 nauli ni kuanzia Tsh 12,000 mpaka 15,000 hailingani kabisa na hali halisi. wakati umbali wa Nzega Mwanza ni KM 246 na nauli ni Tsh 8000 tu. Serikari hii dhaifu haifai kuachiwa kuendelea kututaabisha....
   
 2. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Magufuli Pombe kaishasema, ukiona nauli hauendani nayo, chapa kwa mguu, sa wewe unalalamika nini?
  ninyi si ndo mlimmwaga selelii kisa kamuumbua rost am au? komeni na li ccm lenu
   
 3. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kukoma tumekwisha koma tunajaribu na kuwakumbusha wengine 'dont try this'
  Kigwangala badala ya kushughulikia mambo ya msingi kama haya anakalia kutishia Bastola
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mmmmmhh bara bara yenyewe ni makorongo kila sehemu!! Ni halali wawalipue kwa hiyo nauli maana spea za magari ni bei, kama ni mfanya biashara ni risk kubwa kwenye hiyo barabara!! Siwatetei wanaotoza nauli kubwa, ila nani wa kulaumiwa? jibu ni moja viongozi wa maeneo husika barabara siyo kipaumbele!!
   
 5. H

  HIPPO Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Yalinikuta juzi tena usafiri wa pick up na kugombea kama zamani mabasi ya uda kituo cha msimbazi kwenda mwenge
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Njoo hata huku kwetu ujionee maajabu ya dunia, mi hata nashangaa kwa nini tuendelee kung'ang'ania kuupigia mlima Kilimanjaro na sijui Serengeti wakati nchi hii imejaa maajabu tupu hivi kweli ulimwengu hauyaoni mpaka utulazimishe kupiga kura
   
Loading...