hivi huwa ni ya nini

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
385
104
jamani, habari zenyu bhaana. Samahani lakini. naomba kujua kwa anaeelewa kuna mipete flani mikubwa wanaume wengi, viongozi na watu wenye uwezo mkubwa kifedha hupenda kuyavaa. hivi zile'pete ni za nn hasa? Maana kuna watu wanasema ni za kipepo. Is it 2ru
 
Bi nyakomba bana. Kumbe nawe bado tineja? "Is it 2ru" unamaanisha nini?
 
Huyu ndiye aliyekuwa anaripotosha Taifa na mipete kama aliyovaa yeye mwenyewe.

sheikh-yahyabc.jpg
 
nimeambiwa ni mapete yenye utisho wa kipepo, ila mbele ya nguvu za Mungu yanaufyataaaaa kbs. Chezeiya Power of God
 
Back
Top Bottom