richmond, epa vimeisha kimyakimya la ulimboka na mwangosi tunaomba mrejesho wake hadi mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

richmond, epa vimeisha kimyakimya la ulimboka na mwangosi tunaomba mrejesho wake hadi mwisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by peck, Sep 6, 2012.

 1. peck

  peck JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr ulimboka, na mambo mengine mengi ambayo tungependa tusikie muendelezo wake ila haiko hivyo.

  Rai kwa waandishi wa habari tunaomba sasa iwe basi jamani tupatieni mwendelezo wa habari hizi binafsi napenda nipate mwendelezo wa dr ulimboka na hili la marehemu Daudi mwangosi, mpaka yatakapoishia


  [​IMG]

   
Loading...