sitaipenda CHADEMA HADI KUFA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Sep 5, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Subiri uone kitakachokutokea...
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  sijategemea kusoma uchafu kama huu

  maisha yangu yote...wewe ni pupu

  , mimi sio chadema wala cuf lkn

  wewe ni mjinga dunia nzima, wewe ni pupu...
   
 4. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  View attachment 63892 wakati unaowaita majinamizi wanakatazwa kufanya mikutano kwa sababu ya sensa MAJINAMIZI haya yalikuwa yanaendelea na mikutano kama kawaida. CHADEMA haiitaji ipendwe na watu wote ndio maana kuna vyama vingi. Mawazo yako ni mgando sana hujui usemalo. ila ipo siku utakuja kuelewa.
   
 5. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Njoo tukuzike kesho ili usishuhudie tunavyochukua nchi!
   
 6. M

  Mboko JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe kweli kupe aisee jina lako na pumba zako limekupendezea sana ati NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA who told you kuwa kuna amani Tanzania kama hufahamu sasa ni bora kuishi Somalia kabisa ukifahamu kuwa moja kwa moja kuna vita kuliko Tanzania wanafiki wengi haswa hiyo serikali unayosema ati Chadema wapewe vibali na serikali acha pumba kama huan cha kuandika bora angalia PORNO kwa hizo credit zako ulizonunua kwa Tigo/Vodafone.Pole kwa kutofahamu nini katiba inasemaje kuhusu uhuru wa vyama vya siasa acha Upimbi wewe KUPE nafahamu unakula kupitia CCM magamba na wewe pia ni Gamba ndio maana huwezi kuunga mkono chama cha Ukweli ole wako 2015 subiri kujinyonga
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyu Kupe na walewale wavivu wa kufikiri na wenye dhiki ya akili, ningekua Invisible nisingempa acces ya hili jukwaa ningemruhusu awe anaishia jukwaa la jokes na jukwaa la mapishi tu
   
 8. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  wewe utakuwa uataka tukuombee ufe haraka, nasisi hatukuombei hivyo ng'o. Naomba Mungu akujalie maisha marefu mpaka siku utayoona CDM wanachukua nchi. Udondoke, uzimie na Kufa pale Rais kutoka CDM atakapomaliza kula kiapo cha uongozi.

  Nakufananisha na sheria za South Afrika: Polisi wameua raia lkn wanafunguliwa mashitaka ya uuaji raia. Sasa nawe unajua ni polisi wametekaleza mauaji hayo yote kama ulivyotaja, lkn unawachukia CDM.

  Ishi miaka mingi ushuhudie mapinduzi
   
 9. S

  Shansila Senior Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupe;utajinyea bure mzee wakati tumbo hauumwi wewe...wewe na magamba wenzio punde mtageuka chama cha upinzani kilichopoteza mvuto kama KANU...haiwi rahisi kuamini kuwa sasa zama za magamba zimepita ila wewe ni kati ya abiria wachache mnaoisindikiza meli ya ccm hadi kutia nanga kwenye kina kirefu.....
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,598
  Likes Received: 82,153
  Trophy Points: 280
  ...Akili magamba... eti hutaipenda CDM hadi kufa!!!! Na athari za wewe kutoipenda CDM ni zipi hasa?
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani umelazimisha? Kama wewe binafsi hujipendi hadi unatumika kama nepi utaipendaje CDM? Penda usipende CDM haitegemei mapenzi yako. Una mapenzi gani wakati hata kupenda ni msamiati adimu na mgumu kwako? Siku zote kupe ni kupe hata umpe nini atabaki kuwa kupe. Go ahead with your misguided thoughts about CDM.
   
 12. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,197
  Trophy Points: 280
  wewe ni shankupe na unalipa fadhila kwa mabwana zako wa magamba kupitia posts zako
   
 13. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,197
  Trophy Points: 280
  wewe ni shan-kupe na unalipa fadhila kwa mabwana zako wa magamba kupitia posts zako
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  "Aliwazalo mjinga ndilo litamtokea!"- Afande Sele.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Acha nisiseme kitu.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna CUF na ADC wote hawa ni CCM baki huko
   
 17. M

  Movement 4 Change Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unafikiria kwa kutumia makalio. Kwanza polisi hawatoi vibali,usikurupuke tu! Pili inaonekana wewe ni kipofu-morogoro walioua ni polisi,arusha ni polisi,tarime ni polisi,machimbo ya madini ni polisi na Nyororo iringa ni polisi hata wakamjelui na polisi mwenzao. Baba yako ni mwenyekiti wa mkoa wa ccm au wewe ni Mkuu wa wilaya?


  Nafikiri ukichaa sio lazima kuokota makopo hata tabia kama zako zinaweza kukufanya kuitwa kichaa.
   
 18. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Amani yako inatumika vibaya ndio maana unadhani tz ina amani.UNAWEZAJE KUHUBIRI AMANI WAKATI WANANCH WANAKUFA NJAA? PUMBAFUU ZAKO.
   
 19. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Spoiled my day! f*******************k uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!:shetani:
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Kupe una point.. alafu hongera cdm ni janga la kitaifa.. watu kama wewe ndio wazalendo mnaohitajika.. hawajamaa chadema mi nawachukia sababu wadini sana..
   
Loading...