Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BBC News - Giant rats trained to detect land mines and tuberculosis in Africa Naimani kama serikali itajikita zaidi kwenye kufadhili tafiti mbalimbali kwenye vyuo vikuu na taasisi mbalimbali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi hawa jamaa taratibu za kwenye mataa haziwahusu? Manaake, wao huchungulia na kukatisha fasta! Sometime mbele ya trafiki! Tz bana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jee ni wiki ya nenda kwa usalama hiyo?utamsikia RTO polisi wamejipanga ajali isitokee tena!jee leseni mpya zina maana?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani????????? Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa wizara husika safari moja itabeba abiria 900 sawa na Coaster 22,kwa siku abiria 5400 watatumia hii huduma nini maana yake 1.ubungo posta itatumia dk 45 which means itaokoa mda ambao...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
The Founding of Baraza Kuu (The Supreme Council of Islamic Organisations and Institutions of Tanzania) By Mohamed Said By 1990s BAKWATA was literally dead. Its decision to appease the...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Ajali zaua 1,800 nchini na Mwandishi wetu JUMLA ya Watanzania 1,800 wamepoteza maisha katika ajali mbalimbali zilizotokea nchini kati ya Januari na Juni mwaka huu. Kauli hiyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbona mmerusha habari za kova kuhusu ponda? Na ile ya nchimbi alipokuwa anakabidhiwa vifaa na kuwaasa polisi? Au mmeahirisha ili mpate posho ya leo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shija Felician, Kahama MKUU wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, juzi alimkwida na kumuondoa katika mstari wa viongozi kwenda kupata chakula, Diwani wa Kata ya Nyihogo (Chadema), Amos Sipemba...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Na Muhibu Said | 14th September 2012 Nyumba inayodaiwa kumilikiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Dk. Getrude Rwakatare. Nyumba inayodaiwa kumilikiwa na...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Comrades, Naomba kujua kama serikali iliishafyata mkia wake mrefu kuhusu mtu aliyeaacha kazi kuvuta fao lake la akiba kabla ya kufikisha miaka ya 55 or 60. Na zile longolongo zimefikia wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KINYWA cha mwanadamu hutamka yale yanayotawala na kuijaza akili yake, ndiyo maana simshangai mbunge wa jimbo la Bunda mkoani Mara ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (mahusiano na uratibu)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wanakufa kila siku, magari kuharibika vibaya, kutokana na kuwepo kwa mashimo ya ghafla barabarani ambapo hakuna hata alama inayowekwa kutahadharisha madereva. Ukifikiria kwamba kwa kila lita...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Wadau wa mkwawa mnaikumbuka ARTIST CORNER?.Lol ilikuwa very interesting kwani wana ART walikuwa wanawasilisha hisia zao hapo kwa kutoa mashairi na michoro ya katuni yenye ujumbe mzuri kabisa.Kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati hiyo iliyofika Iringa kwaajili ya kufanya uchunguzi kuhusiana na kesi ya mauaji ya Mwandishi wa Habari wa channell ten na Mwenyekiti klabu ya waandishi wa habari Iringa iliyokuwa imefikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By NATALIYA VASILYEVA Associated Press MOSCOW September 10, 2012 (AP) A highly connected former KGB officer who has openly rebelled against President Vladimir Putin faces expulsion from...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
ni Binti ana umri wa miaka 19.mwenye picha aiweke hapa.source bbcswahili
0 Reactions
16 Replies
3K Views
"AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO" Huu ni ujumbe kwa askari polisi wote, kutokana na utii wao wa amri sasa wameanza kutumika vibaya, kama kuua raia bila kujua kwamba watoa amri hizo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu mchana kuanzia saa 6:30 hadi jioni ya leo kamati hiyo imeendelea na mahojiano na makundi tofauti matatu, ilianza na serikali ya kijiji tangu saa 6:45 hadi saa 9:30 imekaa na serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamhanda; ameuawa na kitu kizito kilichorushwa na wananchi. Nchimbi: Nimeunda tume kuchunguza mauaji hayo Nchimbi: Mwangosi ameuawa na bomu. Matamshi hayo yana utata kwani baada ya kuona picha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…