Bodaboda na taa za barabarani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodaboda na taa za barabarani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dan84, Sep 14, 2012.

 1. Dan84

  Dan84 Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hivi hawa jamaa taratibu za kwenye mataa haziwahusu? Manaake, wao huchungulia na kukatisha fasta! Sometime mbele ya trafiki! Tz bana!
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,840
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Utakuta abiria anachekelea! "LIWALO NA LIWE" Ni Janga la Kitaifa!!
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mimi pia nashangaa,wakat nchi za ulaya na marekan,waendesha pikipiki sheria pia zinawausu,ila africa bodaboda awafat mataa wao uchungulia tu na kuondoka,hii si sawa kabisa ajali za bodaboda ni mbaya sana
   
 4. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  haswa haswa sanawari na mianzini
   
 5. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Ni sheria nyingi hazifuatwi humu nchini ila hiyo ya Bodaboda wanaivunjia barabarani. Huko mitaani sheria nyingi sana zinavunjwa mpaka inakuwa ni kama kawaida. Hiyo ndiyo Tz bana
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndio maana wanakua wa kwanza kufika muhimbili MOI ...taa nyekundu yeye anapita...ndio maana boda boda mi sipandi hata kwa dawa
   
Loading...