Nini tafsiri ya polisi kumficha vile polis mwenzao muuaji?

NusuMutu

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
421
87
Heshima mbele wakuu. Nimeshangazwa na drama ya mapolis wa iringa pale mahakamani. Polis mwenzao walikuwa wamemzingira huku wakizuia asipigwe picha na waandishi wa habari. Hakika action walizokuwa wakizfanya mahakamani huwa zinaonekana katika sinema tena za Adolf Hitler tu.Tumemwona mkapa akienda mahakamani,na akapigwa picha (tena akitabasamu) tunawaona kila siku kina Basil Mramba,Mgonja na yule nani sijui mzee wa 'alex stewart' wote wanapigwa picha. Nini tafsiri ya polis kufanya sinema yote ile pale mahakamani? Najiuliza...
 
Halafu Iringa hawana karandinga au lile basi la mahabusu mpaka aletwe na kuondoka na shangingi la kifahari?
 
Heshima mbele wakuu. Nimeshangazwa na drama ya mapolis wa iringa pale mahakamani. Polis mwenzao walikuwa wamemzingira huku wakizuia asipigwe picha na waandishi wa habari. Hakika action walizokuwa wakizfanya mahakamani huwa zinaonekana katika sinema tena za Adolf Hitler tu.Tumemwona mkapa akienda mahakamani,na akapigwa picha (tena akitabasamu) tunawaona kila siku kina Basil Mramba,Mgonja na yule nani sijui mzee wa 'alex stewart' wote wanapigwa picha. Nini tafsiri ya polis kufanya sinema yote ile pale mahakamani? Najiuliza...

Ni mtu wao, lazima wamsitiri! Walimtuma kazi na ameikamilisha vizuri. Hiyo ni gheresha ya mashitaka tu
 
Ni dalili kuwa alichokifanya wamekubaliana nacho.

Na wale wengine waliokuwepo kwenye kuua wako wapi.
 
Unajua wao wanazani hatumfahamu wakati picha zimejaa kila kona!
Na hii inaonesha kuwa hawa polisi they dont care on what happened!
Ni unyama wa hali ya juu muuaji kuonyesha drama za aina hii
 
Mbona wauwaji wengine wanawekwa hadharani tu wakiwa mahakamani na picha zinapigwa au huyo wao ndio special one???:loco:
 
Kwa hiyo hapa mnataka kusema haya yote polis inayafanya kama geresha? Maana kamanda kamhanda simsikii..
 
Lazima wamkinge coz huyu ndiyo Mungu wa Kamuhanda, Mwema, Nchimbi na Watu wa Ikulu up to J. K kwa sasa coz order ya kuuwa ilitoka juu sasa hawa watekelezaji inabidi wamkinge huyu aliyefanikisha zoezi lote.
 
Heshima mbele wakuu. Nimeshangazwa na drama ya mapolis wa iringa pale mahakamani. Polis mwenzao walikuwa wamemzingira huku wakizuia asipigwe picha na waandishi wa habari. Hakika action walizokuwa wakizfanya mahakamani huwa zinaonekana katika sinema tena za Adolf Hitler tu.Tumemwona mkapa akienda mahakamani,na akapigwa picha (tena akitabasamu) tunawaona kila siku kina Basil Mramba,Mgonja na yule nani sijui mzee wa 'alex stewart' wote wanapigwa picha. Nini tafsiri ya polis kufanya sinema yote ile pale mahakamani? Najiuliza...

Mkuu amini usiamini huyo aliyefikishwa Mahakamani siye, na ndo kisa cha kumficha!!...iko siku mambo yatakuwa hadharani.
 
Lazima wamkinge coz huyu ndiyo Mungu wa Kamuhanda, Mwema, Nchimbi na Watu wa Ikulu up to J. K kwa sasa coz order ya kuuwa ilitoka juu sasa hawa watekelezaji inabidi wamkinge huyu aliyefanikisha zoezi lote.

hivi kwenye ile Picha yule aliyevaa kiraia, shati la blue ni nani? mkono wa kulia aliounyanyua mmeuangalia vizuri ameshika nini?
 
Changa la macho wana2fanyia kwa kudhan kuwa watanzania 2bado wale wa enzi za nyerere,2liokuwa ha2jui A wala Z,TWAPASWA SHTUKA NA HAWA POLICCCM mana 2shawachoka badala ya kulinda raia wenyewe wanalinda ccm.HVYO HA2TAFIKA KABISA...
 
Medani za kipolis naona zishawashinda kinachoendelea naona ni 'police muviz' na mambo ya kina profesa singira tu hapa
 
Back
Top Bottom