Utitili wa wanajeshi wanao tembea kimakundi Dar kuanzia asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utitili wa wanajeshi wanao tembea kimakundi Dar kuanzia asubuhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Sep 15, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Leo nmeshangaa tangu asubuhi wanajeshi wanapishana barabara kila kona ya dar. Imenitia hofu sana sababu sio kawaida. hawakimbii mchakamchaka wala kuongea!, wanatembea mwendo wa haraka tu. kila kundi lina bendera nyekundu na wanatembea kwa mstari ulionyoka kila mmoja nyuma ya mwenzie. Kundi la kwanza nimekutana nalo tazara, lingine kamata, mgulani, kurasini na maeneo ya bandari. sijajua wanaenda wapi. kila kundi lina watu kama 22 hivi. Mwenye kujua kinacho endelea atujuze tukae tayari tayari. mia
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna mapinduzi nafikiri!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Acha uwoga mkuu wapo kwenye harakati zao za ulinzi we endelea na maisha yako
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  C uwaulize wenyewe?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Ni mazoezi yao ya kawaida tu!!tunahitaji jeshi dogo sana la kisasa zaidi!!
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wanajiandaa kuvamia misikiti.
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Labda wa Dar unawezakuwauliza!! Ukijaribu kuwauliza wa Monduli,Arusha utafurahi
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  walivyo nuna sidhani kama kuna wa kuthubutu. watasema unawapeleleza. mia
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mazowezi, mi ni yule aliyekuwa na kabeba bendera pale kamata.
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wasimamishe waulize kulikoni ni haki yako kujua na watakujulisha
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  jamaa kanitonya kwamba wapo kwenye somo la cindicate. mia
   
 12. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Mkuu figganigga kweli we ni raia mwema? ............. maana unashangaa kitu ambacho kimezoeleka kwetu huku
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mzee wa mia. Umeogopa nini?
   
 14. Master jay

  Master jay Senior Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna kitu kimefichwa sehem wanatakiwa wakitafute wakirudishe kambini.
   
Loading...