Naomba wenye uelewa kuhusu hii huduma ya VODACOM wanisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba wenye uelewa kuhusu hii huduma ya VODACOM wanisaidie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lengijave, Sep 13, 2012.

 1. l

  lengijave Senior Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni nilipoke sms inayosema kuwa ukiongeza vocha ya Tsh 5,000.00 utapewa mara tatu,nilitekeleza na nikapata sms badae kidogo inasema nimepata Tshs 15,000.00
  lakini itatumika kupiga simu za voda kwenda voda,baada ya kumaliza ule muda wa hewani wa Tsh 5,000.00.Nikadhani nitapata ule muda walioniandikia sms lakini haikuwezekana maana jibu lilikuwa linasema ongeza salio kwenye simu yako,nikajiuliza
  labda wamekata sikupata jibu,Nimeamua kuuliza jamii forum kwa sababu kuna kuwa na wanajamii wenye uelewa mkubwa sana,Sikupenda kuuliza vodacom customer care kwa sababu watu nitakao waeleza au kuwa laumu,ni wafanyakazi ambao kwa namna yoyote watakuwa hawahusiki,kama ni kwa bahati mbaya au makusudi wanaohusika ni mabosi wa juu na ni watu wenye elimu kubwa na experience kubwa,naombeni msaada wana jamii
   
 2. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  wamekataaaa mkuu!!!!!!!!!!!
   
 3. l

  lengijave Senior Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamekataaaa mkuu!!!!!!!!!!![/QUOTE]


  Japokuwa sina uhakika moja kwa moja lkn nina wasiwas kuwa wamekata,maana kila kitu wanakata,najua lazima wanohusika baadhi wameona ila wamekaa kimya,nikiona wanakaa kimya nitapeleka kwenye Jamii forum jukwaa la sias lkn ikiwa na kichwa cha habari: TCRA INASIMAMIA HUDUMA YA MITANDAO YA SIMU VIZURI,MAANA BAADHI KAMPUNI ZA SIMU ZINAWATAPELI WATUMIAJI:
   
 4. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu naomba nikueleweshe kwa kadiri ya uelewa wangu.
  Hawa jamaa wanatoa hiyo amount ya promotion na unatakiwa uitumie ndani ya given period of time mfano ndani ya siku moja ama mbili, huwa wanaambatanisha huo muda kwenye sms wanayokutumia.
  Sasa basi, ikijitokeza kwamba hujaitumia ndani ya huo muda huwa WANAKATA na unabaki huna kitu.
  Pole mkuu kama WAMEKATA!
   
 5. l

  lengijave Senior Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  (Mkuu naomba nikueleweshe kwa kadiri ya uelewa wangu.
  Hawa jamaa wanatoa hiyo amount ya promotion na unatakiwa uitumie ndani ya given period of time mfano ndani ya siku moja ama mbili, huwa wanaambatanisha huo muda kwenye sms wanayokutumia.
  Sasa basi, ikijitokeza kwamba hujaitumia ndani ya huo muda huwa WANAKATA na unabaki huna kitu.
  Pole mkuu kama WAMEKATA!)

  Thank you Chilli,nimeanza kupata picha,na kwa jinsi ulivyonielekeza inaweza kuwa japoku bado mi naona kuwa kuna changamoto(changa la macho) lazima watu wa sales and markerting wanataka kufanya usanii ili kuongeza mauzo ndani yako hakuna kitu cha msingi kwa wateja wadogo,mfano kama umeweka vocha ya elfu tano then wanakupa offer inakuwa jumla ya elfu 20,utumie ndani ya siku moja au mbili!!!! we huoni wanafocus matajiri na wana watapeli maskini?kwa namna yoyote kuna uhuni ndani,na makampuni makubwa lazima yakitangaza offer mpya lazima wafanye utafiti, hawatendi haki na sio sawa,nitapost next week weakness zao (baadhi) kwenye jukwaa la siasa hapo lazima watatoa maelezo ya kina ubabaishaji.ULAYA HATA MAKAMPUNI YA GARI YAKIFANYA MAKOSA YANARUDISHWA KUTENGENEZWA KWA GHARAMA ZAO.LAZIMA TUDAI HAKI YA MTEJA) WE SI UMEONA HATA MITAHANI YA TAIFA HAWASAHIHISHI

  Thank

   
Loading...