Fao la akiba la kuacha kazi - Nssf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fao la akiba la kuacha kazi - Nssf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kifarutz, Sep 13, 2012.

 1. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu naomba kupatiwa latest updates kama kuna uwezekano wa kupata fao langu la NSSF baada ya kuacha kazi. Nakumbuka serikali dhaifu ilikuja na hoja dhaifu eti ni mpaka nitimize miaka 55 and above wanadhani tunapenda kuwa ombaomba uzeeni. Hoja hiyo ilileta malumbano kadhaa but sikujua kama serikali ilabadili msimamo ule wa kishenzi. Nipeni mistari kama vipi kesho nianze michakato
   
 2. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bado subiri mpaka bunge la nov lipitie tena.
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Siyo lipitie naomba uandike moja kwa moja bila kona sema liifute hiyo sheria. Tena serikali inatakiwa imfukuze kazi yule mwanamke. Na hiyo serikali ijue mawazo ya kike kike yaliyotolewa na huyo mwanadada yamewasababishia migogoro na wananchi.
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Subirini jamani,hili suala tayari limeundiwa wataalam watakoliangalia kwa undani zaidi na hatimaye kupeleka mapendekezo bungeni kupitia wizara husika. Makosa yalishafanyika kinachofuata ni kufanyia marekebisho bila kuathiri mafao ya wanachama kinyume na hapo basi ndio kitaeleweka.
   
 5. s

  scopi_on_nge JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Limeundiwa wataalamu kwa kipi haswa wakati kila kitu kipo wazi.
   
 6. ngalelefijo

  ngalelefijo JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 1,800
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wahanga tuko wengi.yaani nimeoteshwa hii issue ni ya ki DECI zaidi.yaani mimi sijui nina mikosi gani?kila nikitaka kujikwamua napata vikwazo.Deci kwa ujinga wangu nakiri nililizwa, baadae nikajiunga na nssf baada ya kuona miaka niliyofanya kazi hapo inatosha nikaacha kazi ili nitakachopata nssf nirudi nacho kijijini nikawalee wazazi wangu,Wamekintungia tena sheria. PESA ZETU SHERIA ZAO.Yaani sijui nimlilie nani?Hii nchi hii CCM MMMMMMMMMMMMMMMMH ?mUNGU KIMBIZA MIAKA 2015 IFIKE HARAKA NITOE HUKUMU
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hii sheria wataifuta kabisa katika kikao cha bunge kijacho.
   
 8. saidomr

  saidomr Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa!
   
Loading...