BBC Kisa na Mkasa ni uchafuzi Maadili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC Kisa na Mkasa ni uchafuzi Maadili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MVUMBUZI, Sep 15, 2012.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa wale tunaofuatilia vipindi vya BBC idhaa ya Kiswahili ,amka na BBC na dira ya dunia mtakuwa mme note tofauti ya kipindi cha kisa na mkasa cha Jumamosi asubuhi baada ya kuondoka Salmu Kikeke. Wakati kikpindi kikiongozwa na Kikeke kilikuwa kizuri ,kinasisimua na chenye maadili sana. Sasa hivi kipindi kinaongozwa na Othiambo Joseph na kimekosa heshima yake kwa kugeuka cha ngono. Othiambo Joseph bila aibu tangu apokee hiki kipindi asilimia 95 ya visa na mikasa yake ni mambo ya aibu ya ngono ambayo kwa idhaa inayoheshimiwa kama BBC haikupaswa kuvirusha kwani licha ya kuharibu watoto kimaadili vinapotosha.

  Katika mkasa alioutoa jumamosi asubuhi ya leo tarehe 15/09/2012 amesema utafiti umeonyesha kuwa dawa ya maumivu ya kichwa ni kufanya ngono. Hv mtoto wangu wa miaka 10 ambaye anapenda sana kipindi hiki ameingiza nini akilini?. kuna kisa na mkasa cha wazungu wawili walitaka kuvunja rekodi ya kufanya ngono ndani ya gari huku wakiendesha kasi. Huyu Othiambo hajatoa kisa ambacho hakiwashi masikioni na kufanya sisi wazazi kushtuka shtuka kila anapoanza kuelezea kisa na mkasa mwingine.

  Kwa namna hii naona kipindi hiki badala ya kusisimua na kuchekesha kinachafua kabisa maadili yetu. naomba vyombo husika wawashauri BBC wajaribu kupunguza makali ya maneno na aidha wapeleke hivyo visa vya ngono sehemu nyingine na kama hawana visa vingine waachane na hicho kipindi.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,244
  Likes Received: 12,964
  Trophy Points: 280
  salimu kikeke alienda wapi?
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
Loading...