Mmoja wa waanzilishi wa Jamii Forum ndani ya Makutano

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Jisogeze karibu na magic fm ili tumsikilize mda si mrefu ni Mike Mushi
 
wengine hatuna hiyo radio labda tupe updates anasema nini na yuko wapi siku hizi?
 
yaani hadi sasa ni mwanzilishi? JF kama sijakosea imeanza 2006 ikiwa na maana alikuwa 15 hivi
alitoswa au bado yupo kwenye kundi
 
je jamii forum ni ya chadema? Amesema jf haijaegemea katika chama chochote ila watu wanahitaji mabadiliko ndio maana inaonekana kama imeegemea upande wa CHADEMA
 
je umewahi kutishiwa na kukamatwa? Amesema alikamatwa mwaka 2008 na kuwekwa centra kwa siku mbili
 


  • Waanzilishi
  • Uendeshaji
  • Jamiiforums rasmi ilianza mwaka 2005
  • Waendeshaji na wachangiaji ktk Jamiiforums
  • Administrator kuzuia utumiaji mbovu wa Jamiiforums
  • chombo cha jamii
  • n.k
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom