Mkuu wa mkoa wa Morogoro aitisha kikao na wafanyabiashara kwenye bar !

zilzal

Senior Member
Jul 6, 2008
136
26
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ameitisha kikao kesho tarehe 15/09/2012 na wafanyabiashara wa mahoteli na nyumba za kulala wageni wa manispaa ya Morogoro katika ukumbi wa Rombo White Bar kuanzia saa nane mchana.
 
ndio utendaji huo kawafuata walipo na sio wao kumfuata
haina shida mkuu cha msingi mkutano umefanyika
 
Hiyo ni sawa kabisa. Kinachojadiliwa kinahusu maeneo hayo, hivyo inakuwa rahisi kwa kufanya maamuzi mazuri
 
...usishangae RC anaenda kuongea na hao wadau huku akiongozana na RPC, Mkuu wa Magereza wa Mkoa, Afisa uhamiaji, Katibu Tarafa na Makatibu kata huku akiwaacha watu muhimu ambao na Maafisa Kazi kutoka Idara ya Kazi ya Mkoa na Maafisa Usuluhishi na Uhamuzi kutoka CMA ambao wanaosimamia Sheria za kazi zenye kulinda Haki na Maslahi ya Wadau hao:

Baadae nitapenda kujua aliongozana nao; kwa mantiku hiyo sizani kikao hicho kama kitakuwa na ufanisi
 
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ameitisha kikao kesho tarehe 15/09/2012 na wafanyabiashara wa mahoteli na nyumba za kulala wageni wa manispaa ya Morogoro katika ukumbi wa Rombo White Bar kuanzia saa nane mchana.

asante kwa tangazo/taarifa, nami nina goseri yangu ya kuuza gongo a.k.a pyua a.k.a changaa hapa dark city, nitahudhuria kujua linalojiri
 
sioni tatizo kwa mkuu kwenda baa
labda utueleze kigugumizi chako kufanyika mkutano huo hapo.
si vibaya umesaidia kutoa taarifa.
tunakutuma utupe kilichojiri ktk kikao hicho.
 
Back
Top Bottom