Je, Tanesco wamechakachua Luku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Tanesco wamechakachua Luku?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fmlyimo, Sep 14, 2012.

 1. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Miezi ya nyuma (kabla ya mwezi huu) , nilikuwa nikinunua umeme wa 5,000 (units 15) nakaa nao siku mbili. Lakini baada ya kuingiza Key Change Token, umeme uleule wa 5,000 unaisha kwa siku moja na matumizi ni yaleyale. Je, kuna mwingine amekutana na hili au Luku yangu imeharibika?
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Bwana mie kwangu nina tv, pasi, fridge, taa kadhaa, na wala sina jiko la umeme. Kabla ya hii mambo yao mpya nilikua natumia kwa siku roughly unit 10. Mita yangu niliwekewa ya 3 phase lakini kwenye nguzo nnje nimeunga tu 1 phase.

  Je unit 10 kwa siku sio nyingi izo ukizingatia maTUMIZ YANGU SIO MAKUBWA KIHIVYO? Ila baada ya mabadiliko yao haya sijafuatilia kujua matumizi yakoje.
  msaada na mimi pls
   
 3. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni vigezo vipi wanavyotumia Tanesco kumuweka mteja wao katika Tariff 1, 2,au 3. Inaonyesha Tanesco hawajawapangilia wateja kulingana na Tariffs wanazostahili na ndio maana wanaibiwa sana umeme. Je kuna utaratibu gani wa kufuata ili uingizwe kwenye tariff unayostahili?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  inawezekana jamani, luku inatafuna umeme balaa.....watakua wamechakachua hao
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mi ni tofauti. umeme unaotumika home tangu ku'load hizo token ni units chache sana kwa siku hadi nashangaa.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watanzania miaka 5 mpaka 10 ijayo mtakuwa na umeme karibu ya bure.

  Ahsante Kikwete, Gas mpaka ya mkaa wa mawe imeanza kuchimbwa kutengeneza umeme, Steigler yaja. Ile mi Rais ya kabla yake sijui ilikuwa inafanya nini?
   
 7. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Waungwana hata mi' hili sijalielewa, hapo kabla ya mwezi huu hapa home tulikua tunatumia umeme wa Tsh 20,000/= Kwa siku saba mpaka kumi, Ila baada ya kuweka token hizi mpya ni siku nne mpaka tano umeme umeisha, kweli huu si wizi maana ukizingatia hakuna kilichoongezeka ....................... jamani mkisikia ugumu wa maisha ndo huuu unaanza kwa style ya aina yake!!!!!!!!!!
   
 8. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Aisee, kumbe wahanga tupo wengi. Sasa tufanyaje ili mambo yakae sawa?
   
 9. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  Ukikua utaacha kupost upuuzi kama huu, au umesahau kuwa kuna mtu alisema bei ya umeme haitapanda lkn baada ya miezi mitatu ilipanda na ikaendelea kupanda mpaka sasa inapanda, na aliyeyasema haya yupo na ana madaraka ya kuweza kuzuia maumivu hayo ila kanyamaza, labda kwa 7bu yeye huwa halipi bili za umeme bali analipiwa na serikali, therefore he do not care kama wewe, hata maumivu yake hayajui

  ukikua kiakili utaacha kupost upuuzi kama huu
   
 10. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  sasa hivi hawapandishi bei ila wanachakachua LUKU ikwende fasta..... ni maumivu jamani!!!!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Juzi nimesikia wale wanaochimba Gas ya mkaa wa mawe wakisema wazi kabisa, kuwa umeme wataozalisha watawauzia TANESCO kwa robo ya bei ya umeme wanaonunuwa sasa hivi. Unacheza na Mhogo wewe?
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mavi yako, megawati sita watakazozalisha hazitoshi hata kuendeshea wazo sement
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na zile megawati za Makaa umezihesabu? au ulifikiri ule mkaa unachimbwa kuwashia jiko la chapati?

  Mbona unaanza kuharisha, kwema?
   
 14. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yaani we Zomba hat off.
  Uko tayari kwa upuuzi wa namna yeyote ile, na wala hukasiriki.
  Uko tofauti sana.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  akasirike nini na yupo kibaruani?
   
Loading...