Ufisadi TCU na vyuo vikuu!

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Wana jf,habari,
nimepata taarifa ambazo bado naziita tetezi, kwa kuwa sijazichunguza, kuwa tume ya vyuo vikuu ikishirikiana na baadhi ya vyuo vikuu wanapeana mlungula ili wawapeleke wanachuo wengi wanaojiunga kwa gharama ya mikopo ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.kwamba vyuo vikuu hivyo hupeleka kitu kidogo kwa maafisa wa tcu ili wawadaili wanachuo wengi waliofanikiwa kukopeshwa na bodi.lengo ni kuongeza mapato kwa vyuo hivyo.ndiyo maana si ajabu kuona chuo kama saut wakipata wanachuo wachache kwa kuwa kanisa hilo la katoliki ambao ndiyo wamiliki wa vyuo vya saut wanapata wanachuo wachache zaidi.
 
Hii thread inamrengo wa udini!!!
 
lazima utakuwa huna kazi
umbea umbea tu kama mwanamke wa kizaramo

Wewe sasa ndiwe unakuwa kama mzaramo! Huyu katoa kitu ambacho ni possible kuwepo-hypothesis so to say. It needs to be proved. If you can zifanyie kazi uone ukweli. Tuna mifano mingi ya vitu kama hivyo lakini at the end vilikuwa vya ukweli. usimbeze, mwambie akamlishe uchunguzi/proof ingawa ni vigumu kuupata.
 
Hii thread inamrengo wa udini!!!
Sio UDINI tu mkuu, kuna UKABILA pia. Inasikitisha sana Watanzania tunakoelekea.

Kuna mdau amechangia hoja kwa kuandika "Lazima utakuwa huna kazi umbea umbea tu Kama mwanamke wa KIZARAMO" Ina maana Wazaramo ndio wanaongoza kwa Umbeya nchi hii!?
 
Mkuu sio ukabila na udini tu
Naumbea pia huwezi amka usiku ukaota ulichinja kuku na uamke asubuh uanze kumpiga mkeo ukidai vipande vya kuku ulivyobakiza u have to prove first ndo uanze ujuwa wako
 
Back
Top Bottom