Ya Marehemu Mwangosi ni kama ya Ulimboka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Marehemu Mwangosi ni kama ya Ulimboka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nzenzu, Sep 17, 2012.

 1. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yanapelekwa kimya kimya, hakuna anayehoji, hakuna mwenye habari ya nini kinaendelea. Majibu ni yale yale "tunasubiri matokeo toka tume ya uchunguzi" kama sio "swala lipo mahakamani halijadiliki", Wanatumia advantage ya tabia yetu Watanzania ya kusahau mapema kuficha ukweli.. HIVI VICHWA VYA PANZI VYA WATANZANIA VITATUPONZA, TUNADANGANYWA NA KUSAHAU MAPEMA!
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Heshimu taratibu za nchi. Kamati inafanya uchunguzi.
   
 3. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,369
  Likes Received: 8,443
  Trophy Points: 280
  Acha kuwa POMPOMPO wewe mpaka leo tume ya Kova ina miezi mingapi toka kuundwa???? Na ya Mwangosi hujiulizi iweje mtuhumiwa afichwe sura??? Kama si kumwamisha mkoa na vichwa vya panzi kwisha habari
   
 4. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndivyo mlivyo pumbazwa!
   
 5. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Way out?
   
 6. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu usisahau alipelekwa mahakamani kwa SHANGINGI.
   
 7. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Barabarani tu, tupinge kugeuzwa watoto!
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwenye nchi kama hii tarajia mambo kama hayo kutokea. Watu wana kawaida ya kujifanya wana machungu sana lakini baada ya muda kila mtu ana lake. Mimi mwenyewe kama kuna tukio ambalo sikujua kuwa lingeisha juu juu ni ishu ya Ulimboka. Lakini kama kawaida yao wa TZ, wamepiga kelele wee kama kuku halafu baadae wote kimyaaaa. Usishangae hili la Mwangosi ni wiki hii tu ndiyo itakuwa mwisho wake kuandikwa magazetini.
   
 9. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa, VICHWA VYA PANZI VINAFANYA KAZI. Tushakuwa wazee wa Matukio!
   
 10. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  we ulitaka nini kifanyike?
   
 11. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kule mbeya halijaisha,,! watu wanasubiri kuonyesha hasira zao ktk sanduku la kura 2015 wameamua kuanza kutumiana sms za kuikataa ccm kwa wana mbeya wote. baadae kampeni itahamia kwa waliooa na kuolewa mbeya. mimi nimeoa huko nitawasapoti .
   
 12. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuhusu mbeya sina mashaka, hao jamaa wapo very radical and focused.. Masikini Magamba!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu angalia zuma asikumabwepande.
   
 14. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ofcourse because Mbeya is focused by killers, then Mbeya must be radically focused against the killers. Mbeyans knows very well who to deal with, expecting support from other Tanzanians/ However, whether or not there is external support from other Tanzanians Mby bwana, weacha tu! Watapata kura za mafidodido na wahamiaji labda kwa sababu ni kura za siri. Otherwise kama ingekuwa ni utaratibu kama ule wa Kenya kusimama mstari nyuma ya unayetaka apite, frankly, bila kutafuna maneno, mawe tu yangekaa nyuma ya ccm kama sio upepo tu. Mwandosya wamemdosya kwa kummarki, Mwakyembe wamemkyembe kwa kumharison, Ulimboka wamemlimboka, Mwangosi wamemdaudi, yupo yule wa mazingira, lawyer aliyeingia mitini aliposhituka wauaji wakaambulia vumbi tu. Tribe extinction program ya ccm?
   
Loading...