Baba Mzazi wa waheshimiwa Tundu lissu Mughwai na Christina Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,181
517
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina.
 
RIP Mzee Mugwai.
Pole kwa wafiwa wote na mungu awape nguvu.
Mleta thraed naomba ufafanuzi wa mazingira au sababu za kifo kama hautajali.
 
Ninasikitika kuwatangazia ndugu zangu wa JamiiForums kuwa muda mfupi uliopita baba mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu amlaze mahala pema peponi, Amina.

R.I.P mzee tunashukuru umetuachia kijana jasiri.
 
Back
Top Bottom