Airtel mbona hivi, au ni mimi mwenyewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mbona hivi, au ni mimi mwenyewe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bulah, Sep 16, 2012.

 1. B

  Bulah JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nikijiunga internet kwa kutumia mordem ya Airtel..... inakubali dk kama tano afu inakata.... tatizo nini????
   
 2. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,303
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Hamia voda, achana na shida hizo nadhani lile basi lao limeshachakaa.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kwani rostam ameondoka kwenye bodi ya wanahisa!!!!

  Mimi sipeleki sehemu ya umasikini kwa tajiri fisadi!

  Nilishajiondoa huko vyoda ya mashivyakom yao kitaaaaaambo.
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mabasi ya kihindi haya TATA yanakawia kuharibika basi. Hama .njoo huku kwetu
   
Loading...