Barabara hii mmechimba ya nini?( uru seminari.......molangi) moshi vijijin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara hii mmechimba ya nini?( uru seminari.......molangi) moshi vijijin

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Joan Joel333, Sep 17, 2012.

 1. J

  Joan Joel333 Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NASHKURU KWA KUICHIMABA HII BARABARA KLAKINA NAONA BORA WANGEIACHA KAMA ILIVYO KUWA KWANI VUMBI LINALIOTIBUKA KWENYE HII BARABAR SIO MCHEZO MM NADHANI SIO UUNGWANA KWANI ILICHIMBWA NA HALMASHAURI YA MOSHI VIJIJIN LAKINA HAIKUSHINDILIWA WALA KUMWAGILIWA MAJI NI MWAWEZI SASA UNAPITA ,DIWANI WA ENEO HILI MR kOMU NLIMSIKIA AKISEMA ITAMWAGWA MCHANGA LAKINI HAMNA KITU TANGU IMEKWANGULIWA .WAMEETUTBULIA VUMBI WAN KISOMBOKO KWANI HATUKAI MAJUMBANI VUMBI KALI MNOA JAMAN IMWAGILIWE HII BARARAR LAAA CVYO TUTAANDAMANA HUKU MJE MTUPIGE TEENA MABOM. KAMA ULIVYOPIGA HUKO IRINGA NA MIKOA MINGINE
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Wanafanya utafiti. Wanataka kujua idadi ya wakaazi wenye kifua kikuu katika eneo hilo.
   
Loading...