ITV na maadhimisho wiki ya nenda kwa usalama barabarani.

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Wanajamii, muda si mrefu kulikuwa na kipindi ITV wakimhoji Ernest Sango kamanda wa polisi kutoka mkoa wa pwani, juu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Pamoja na mambo mengine kamanda Sanga kupitia ITV ameviomba vyombo vya habari kutangaza maadhimisho hayo. SWALI: HIVI ULE MGOMO WA WAANDISHI KUTOKANDIKA NA KUTANGAZA HABARI ZA KIPOLISI UMESITISHWA?.
 
wao ni waandishi tu...kumbuka kuna wamiliki wa vyombo vya habari...ukienda kinyume na boss utakula wap? au TANZANIA DAIMA ndo itaaajiri waandishi wa habari wote??
 
sasa hapa suala la TANZANIA DAIMA linatoka wapi?

upuuzi wake ndo uemtuma hivo!anadhan tamko la waandishi juu ya kutorepoti habari za [polis)limeshinikizwa na chadema, tanzania daima inamilikiwa na mbowe! so connect those dots! ila mpuuze huyo¬!
 
acha ujinga mkuu.hujui mmiliki wa tanzania daima mpakaumseme mbowe? mbona afadhali hata ya huyo unayemsema bana
 
katika tansinia ya habari habari mmliki ana nguvu sana kiasi kwamba kipi kitangazwe na kipi kisitangazwe kulingana na yeye anavyoona inafaa
 
Back
Top Bottom