Kutoka Uganda:Askari wenye vitambi kufukuzwa kazi.

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Akichezesha Taya na BBC, Luten generali kaiula alisema kwamba askari wenye vitambi hawapo physically fits so wamewawekea fitness center kwa ajili ya exercises kwa wale ambao wataonekana kuzembea na kuwa na ndambi watapigwa kalamu nyekundu...Haya Mwema na wewe kazi ni kwako.
 
Kwa hali ya Tanzania na mazingira ya kazi ya upolisi ni nadra sana kumkuta polisi mwenye kitambi. Traffic officerz wachache ndio wenye vitambi...
 
Kwa hali ya Tanzania na mazingira ya kazi ya upolisi ni nadra sana kumkuta polisi mwenye kitambi. Traffic officerz wachache ndio wenye vitambi...

Rejao acha masikhara bwana,pita asubuhi posta uone askari wana ndambi za ukweli...traffic police by default lazima awe na ndambi(99% wana vitambi),pia wanajeshi nao wengi wana vitambi!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ya Tanzania na mazingira ya kazi ya upolisi ni nadra sana kumkuta polisi mwenye kitambi. Traffic officerz wachache ndio wenye vitambi...

dah! Hata hili unahitaji kuwa CHADEMA ili ulione huh! Wonderful
 
Jeshi la polisi nchini uganda limetangaza kuwapiga chini askari wake wote wenye vitambi kwa kuwa wanashindwa kutekeleza majukumu yao kama kukimbiza wahalifu. Limewapa muda kuhakikisha wanafanya mazoezi hadi vitambi vipungue, wakishindwa wanaachishwa kazi.

Source: BBC.

My concern: kama zoezi hili liki apply hapa tz zaidi ya robo yao watapigwa chini kwasababu kwanza ni wavivu wa mazoezi, pili vitambi kwao ni sifa.
 
Hii ingewahusu pia makamanda 'mfano hai yule wa Iringa ambaye shati na vest vimeacha mwili'
 
Sijakataa kama hawapo, wapo but ni wachache sana! Kwa income yao unategemea wawe na kitambi?

mkuu usi under estimate income yao kwa kuangalia vijimishahara vyao,wengi wao wanakula rushwa balaa, pili sio kila mwenye kitambi ni kwa sababu ana pesa nyingi, zaidi ni kutofanya mazoezi pamoja na eating behaviour!
 
polisi wa vyeo vya chini kweli wachache ndio wana vitambi ila wale wengine aibu tupu mfano mzuri bw kamhanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom