Askari na Vitambi: Taswira ya Taifa lililoshiba, shupavu au zembe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari na Vitambi: Taswira ya Taifa lililoshiba, shupavu au zembe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steve Dii, Sep 17, 2012.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wawe askari wa barabarani, polisi, mgambo na hata baadhi ya wanajeshi; pahala pengi unapokutana nao, wanavitambi. Hivi hii inaleta taswira gani kwa jamii yetu?! Tumeridhika sana, taifa lilozembe au hii ndiyo miili inayofaa karne ya 21 kwenye ulinzi?
   
 2. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Uganda wameweza!
   
Loading...