Kimenuka hapa NMC Arusha wawachapa mgambo

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Hapa Nmc Arusha kimenuka baada ya kundi kubwa la wafanyabiashara za mbogamboga
kuhamishiwa hapo asubuhi ya leo na kukutana na mambo yasiyoeleweka kimpangilio na
hivyo kuleta tafrani kubwa mpaka sasa bado haijaileweka ni nini kitatokea hapa
 
Wacha kinuke tu, sisi huku Dar tunaendelea kuburudishwa na muimba mipasho JK naona ametoa Single mpya ya "Viwanda vya Uongo"
 
Kwani Huo Ujenzi wa uzio Umamalizika kwa siku hizi Mbili tu? Kuna miondombinu yoyote ya kufanya eneo Liwe soko? Poor Watendaji wa serekali ya Magamba!! Hadi Aibu!!
 
Hapo mi mwenyewe sikuelewa nini walichokua wanataka kukifanya ni kweli soko linahitajika
kwa hawa kina mama lakini utaratibu ni mbovu uliotumika maana inaleta shida kwa hao
kina mama na mji mzima kwa ujumla.
 
Hapa Nmc Arusha kimenuka baada ya kundi kubwa la wafanyabiashara za mbogamboga
kuhamishiwa hapo asubuhi ya leo na kukutana na mambo yasiyoeleweka kimpangilio na
hivyo kuleta tafrani kubwa mpaka sasa bado haijaileweka ni nini kitatokea hapa

Chadema hao!
 
Back
Top Bottom