Huu ni uwanja wa ndege wa jnia ama ziwa victoria ??naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni uwanja wa ndege wa jnia ama ziwa victoria ??naomba msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Sep 21, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikipita na kenya airways hivi karibuni kutokana na project mbali mbali
  ninazofanya sasa kuna swala nimeliona na nahisi hii airline iachane na kutumia hii sehemu
  hii ni mara ya nne kwa wiki 3 niilizopita nimekuta hivi na niliongea na msimamizi wa kenya airways
  na kuwashauri cha kufanya naona bado hali ni tete

  nauliza hivi huu uwanja auna wasimamizi ..pengine nakosea kulalamikia hizi airline swali langu je
  hawa viongozi wanalipwa mshahra ama lah ...ama awajui kinachoendelea ...ni sehemu ambayo
  kila wakati wanafanya marekebisho nikipita ndege ya asbh unakuta wanatengeneza mchana nimepita ni aibu bwala la mtera najiuliza kwa nini watu wasiwajibike kwa hii

  je mawziri mnaokimbilia vip kwa nini msipite huku kuona aibu ambayo si kwa watanzania ni
  pamoja na serikali yenu mnashindwa kutengeneza uwanja kwa kweli ni aibu mnakimbilia kuomba kutengenezewa internation vip...ni aibu sana sana
   

  Attached Files:

Loading...