Lema ni kiboko ya CCM Arusha, msafara wake toka Mahakamani leo umethibitisha bado ni hatari kwao

Bado Lema anakubalika sana na wana Arusha na hilo halina ubishi
 
huko chama cha machangu kilipigwa BAN long timeeeeee na wanatambua hilo!
 
Hii ndio NGUVU YA UMMA tunayoisema, Hakuna cha kibali cha polisi na wala hakuna inzi yeyote alie UWAWA?
POLICCM ndio wanauwa raia, madharani leo wangetokea unategemea nini?
 
Looh...! Maskini Chama cha mabwepande kinakata roho. Mpaka sasa hawajui wataopoa ngome gani kutoka Chadema zaidi ya kupatwa na hofu ya kusambaratishwa kwny ngome zao ambazo ni kama hazipo tena.
 
Unafanya mchezo, mpaka wanafunga viwanja lakini hawawezi funga mioyo yetu kamwe.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom