ZANZIBAR: Atakayevuta sigara mkusanyikoni kukiona! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZANZIBAR: Atakayevuta sigara mkusanyikoni kukiona!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakamukubwa, Sep 21, 2012.

 1. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Atakae Bainika kuvuta Sigara kwenye mkusanyiko wa watu atakamatwa na kupigwa faini ya laki 2 au kwenda jela siku 7,Huo muswaada unaandaliwa kupelekwa kwenye baraza la wawakilishi.
  Source;ZANZIBAR LEO
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  yetu macho na maskio!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  bangi je?
   
 4. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Saafi saana, maana wavuta sigara wengine huwa sio wastaarabu, mpaka waelekezwe kwa sheria.
   
 5. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Hii hoja naiunga mkono Mia Mia. Second hand smoke kills. Naomba huu muswada uletwe na huku Bara. Unakutana na jitu limekuja sehemu ya kula na sio BAR,linapuliza moshi Kama treni bila kujali meza ya pembeni kuna watoto. Bravo baraza la wawakilishi.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...wakati wanakataza, wafikirie kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya watu kuendelea na starehe yao!
  BTW ije hata huku bara, mtu anavuta sigara moshi wote unaishia usoni mwako!aaaaaaggghhhrr
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  kuhusu suala la kuvuta sigara hadharani mimi nadhani inatakiwa sheria kali kwani ukiwa pembeni ya mvutaji wewe ndio unaathirika zaidi yake hata
   
 8. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ikitoka zenji ije Tanganyika
   
 9. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii sheria inatoa adhabu ndogo sana siku 7 tu? No way izo 7 wazizidishe mara 10. Pengine italeta tija coz wanakera sana na misigara yao hovyo kabisa
   
 10. L

  Luushu JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Nataka baraza la wakilishi lilete mswada bunge la mwezi wa kumi ili hii sheria ipitishwe na bunge la jamhuri ya muungano kinyume na hivyo watakuwa wametwanga maji kwa ujumla nimeipenda sheria
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  vipi kwa wanaoshikishwa ukuta,wananaacha jipu wanadili na chunusi pambaf.
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uchumi wa nchi yetu unategemea Pombe na Sigara, halafu wanaanza kupitisha miswaada ya kupiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani.. SMZ nao bana wanatukata stimu......:yawn:
   
 13. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimejiuliza walipa kodi wakubwa ni akina nani kama siyo hao wenye viwanda vya pombe na sigara!? Kila kitu na gharama yake...kama wazanzibar wana mind sana afya zao basi waanze na kuangalia vyanzo vingine vya kodi...
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  naona kama vile ni muendelezo wa kuqavizia wakuja!
   
Loading...