TMA Kuandika Historia El Nino Zikinyesha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TMA Kuandika Historia El Nino Zikinyesha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Sep 20, 2012.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tangu nianze kufuatilia utabiri wa hewa kwenye redio Tanzania na sasa redio zengine na TV pia, mamlaka ya hali ya hewa TZ imekuwa na kasumba ya kutabiri mabadiliko ya hali ya hewa na kupata matokeo kinyume. Mamlaka hii pia ni dhaifu kwa kuwa inaruhusu wenye redio na TV kutangaza utabiri wa hali ya hewa baada ya taarifa ya habari. Hii ya pili ni utartibu mbofu kwa kuwa watu wote duniani wanakuwaga na usongo wa kutizama fideo pale taarifa ya habar ikikaribia, wote familia wanajongeaga sebuleni, hata walevi wa baa wanasogeaga pia. So kama TMA wangekuwa sirias wangefanya mpango wewe TV wasome utabiri wa hali ya hewa dakika 5 kabla ya habari kwa kuwa muda huo kila mtu nyumbani huwa jcho kideoni. TMA jipangeni. Lakini kama kweli mwez wa kumi zitapiga el ninyo ni jambo la kusubilia na kama litatimia, teknolojia ya Tanzania itapanda kwenye medani za kimataifa. Na JK ntampongeza kidogo.
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  nakubaliana nawe katika mambo ya awali, kuwa mvua ikinyesha hiyo wanayosema El nino, basi TMA itwakuwa imeweka historia kwa kutabiri ukweli maana siku zote utabiri wao huwa vice versa.

  Katika hilo la pili kuweka utabiri kideoni kabla ya Habari, mhhhhh kwangu mie the big NO! Labda unipe mifano halisi ya nchi ama runinga za kimataifa zinazofanya hivyo. kwa sasa ondoa kabisa CNN, Al Jazeera, CCTV, BBC, Sky, RT, Fox na MSNBC sababu zote hizi nina uzoefu nazo na utabiri wake upo ama katikati ya habari ama mwishoni na sio mwanzoni.

  Waiting hearing from you Sir!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CNN wanafanyaga hivo mkuu.
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Natamani siku ukiona CNN wanafanya hivyo unistue kwasababu mie ni mtazamaji mkubwa wa hiyo runinga so najua kabisa inatoka nini inafuata nini. CNN mostly huwa wanaweka weather forecast katikati ya News Bulletin sio mwanzoni
   
 5. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,038
  Likes Received: 37,815
  Trophy Points: 280
  Sio kosa lako mkuu.Hizi ni taaluma za watu.
  NOTE:Utabiri wa hali hewa siku zote si 100% uhakika.Kumbuka kitaalamu tuanesema weather is dyanamic
   
 6. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu, kwenye portal ya bbc,cnn etc na news zao huwa wanaweka weather news mwishoni. the same nasi
   
 7. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si ndio maana unaitwa utabiri wa hali ya hewa. Define 'utabiri'? :smiling: :smiling: :smiling:
   
 8. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,867
  Likes Received: 4,250
  Trophy Points: 280
  Hawa TMA km waganga wa kienyeji wanaopiga ramli.
   
 9. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la Elnino au Lanina ni la kidunia na si la kitaifa. Huwa TMA wanacopy na kupaste tu.tembelea link hii uone: Climate Prediction Center: ENSO Diagnostic Discussion. Na pia Hali ya Elnino kwa kuwa inatokea katika eneo kubwa la dunia athari zake zinaweza kuwa kubwa ktk eneo moja na kuwa kidogo ktk maeneo mengine. Hivyo siyo ajabu kukuta kuwa mvua hizo zikanyesha kawaida tu bila mafuriko. Ukitaka kufahamu mvua za elnino hata bila kutabiriwa au kuambiwa ni kuwa mvua za vuli zinakuwa nyingi kupita kawaida zinakuwa kama za masika vile na zinanyesha kwa muda mrefu. Hivyo kwangu mimi Elnino inaweza kuanza Oktoba lakini zikanyesha kawaida tu lakini impact yake tunaweza kuona kuanzia Desemba hadi Januari. Tusubiri tuone.
   
 10. Xidian

  Xidian JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Na kwa taarifa yenu jana Mzee wa upako alisema HAKUTAKUWA NA MVUA ZA ELININO kama ilivyotabiriwa na TMA.
  Alienda mbali zaidi na kusema kuwa kama hizo mvua kubwa zitatokea basi ATAACHA KUHUBIRI maramoja.
  Yetu macho
   
 11. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hamna cha elnino wala nini wazushi tu hao sijui hata vyombo vyao ni vya mchina
   
 12. Gaston Mbilinyi

  Gaston Mbilinyi JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, unafikiri kwanini utabiri wa hali ya hewa huwa ama katikati au mwishoni mwa taarifa ya habari? Ivi ikiwa mwanzoni mwa taarifa ya habari, kutakuwa na ubaya gani? Katika hili nilazima kweli tufanane na CNN, Al Jazeera, CCTV, BBC, Sky, RT, Fox au MSNBC? Tubadilike vinginevyo hii copy & paste itatumaliza, mpaka utabiri wa hali ya hewa!?!
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Siku zote wanapiga ramli tu
   
 14. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  mkuu nadhani hapa kidogo itabidi tuingizane darasani.

  Ile inaitwa News Bulletin, katika News Bulletin main contents ni NEWS na NEWS must be something NEW, Unusual, Interesting, with Impact to a large number of people. Ndio sababu huwa wanaanza na News Contents kwanza na kisha vitu vingine ambavyo vinaweza kuwa na Impact kwa watu lakini sio NEW na kwahiyo sio NEWS basi vinafuata.

  Ikitokea tishio la Tsunami, hiyo inakuwa something NEW and Unusual, kwahiyo itaweza kuwa element ya kwanza katika News Bulletin na inaweza ikafuatiwa na weather report hapohapo ili ku-clarify hiyo Tsunami in a weather perspective.

  Unless jina la NEWS BULLETIN libadilishwe ndipo tunaweza kuona kitu ambacho sio NEWS kikaanza na kisha NEWS zenyewe zikafuata.

  Hope walau kidogo utaweza kuwa umenielewa. Kama bado usisite kuuliza zaidi nitajaribu kukuelewesha mahali ambapo hujanipata vema
   
Loading...