Hatimaye Kamanda Shimbo astaafu

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Hatimaye utumishi wa Mnadhimu mkuu wa JWTZ Lt. Gen A. Shimbo unategemewa kukoma leo baada ya kufikia umri wa kustaafu. Tunamtakia kamanda mapumziko mema huku tukimtaka atafakari mchango wake kwa taifa hili la kimaskini hasa katika miaka hii 5 aliyoshika wadhifa huo.
 
Nadhani ni muda muafaka wa kufaidi ya matrioni ya ufisadi, kwa kuanzisha makampuni makubwamakubwa.
 
Aende....ya trillion 3 siyajui ila nikikumbuka kauli alizotoa kutisha vyama vya upinzani wakati wa uchaguzi mkuu ulipoita nacikia kutapika.
 
Aende....ya trillion 3 siyajui ila nikikumbuka kauli alizotoa kutisha vyama vya upinzani wakati wa uchaguzi mkuu ulipoita nacikia kutapika.

Mungu atamhukumu, CCm itamlinda-Mkuu wa mkoa. JK ataanzisha mkoa mpya wa kumpa
 
akivua tu gwanda apelekwe keko
kama serikali yetu makini this guy should not be free
arudishe pesa alizokwiba zitajenga mashule na hospital na barabara pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom