hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 157
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama la. Je inaweza kuwa angali ktk coma baada ya miaka yote hii? na je hii inamaanisha nn kiafya?