joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
maisha yanazidi kuwa magumu kila siku kwa wananchi hasa sisi tulio na elimu duni na kipato kidogo,kiukweli nimeangaikia sana maisha lakini nazidi kukatika mtaji ingawa ulikuwa mdogo ila sasa umeisha na nimebakiwa na laki 4 tu na hizo ziwezi kuendesha biashara ya mwanzo ya nguo za mitumba mana nilikuwa na milioni 3,naishi kigamboni dar na nina mke na watoto na nyumba ya kuishi,mnisaidie mawazo hizo laki 4 nifanyie kitu gani angalau nipate ya kula na watoto na kulinda hako kamtaji? nategemea mawazo yenu