Maj Gen SAMWEL NDOMBA - Mnadhimu wa Jeshi

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (CNS) amepandishwa cheo kuwa Lt Gen na kupanda madaraka kuwa Mnadhimu wa Jeshi kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Lt Gen AA Shimbo.
 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (CNS) amepandishwa cheo kuwa Lt Gen na kupanda madaraka kuwa Mnadhimu wa Jeshi kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Lt Gen AA Shimbo.

Naona JKT ndiyo kisima chao. Karibu Kamanda. Kazi njema. Bila shaka urafiki au ukaribu wacko na mkulu tangu mikoa jeshini pamoja, hautakufanya unhindered kufanya kazi kuwatumikia Watanzania. Tunataraji unaelewa nchi iko katika kipindi gani na Watanzania kwa sasa wakoje. Kola mpenda nchi anakutarajia kuwa hautakuwa kama aliyeondoka ambali aliamua kuwa mtumishi mwaminifu wa magamba na mkulu wao hasa wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Eti kwa Mara ya kwanza king'ora cha tahadhari pale ngome kikajaribiwa kwa Mara ya Kwanza kama kinafanya kazi! Siku moja kabla ya uchaguzi!?!?!?
 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (CNS) amepandishwa cheo kuwa Lt Gen na kupanda madaraka kuwa Mnadhimu wa Jeshi kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Lt Gen AA Shimbo.

Kikwete bado ameweka viporo nafasi za kuteaua wabunge, nadhani mojawapo iliyobaki atamzawadia huhu Shimbo, maana ana historia kubwa kuanzia kule Arusha alipokuwa anafundisha chuo cha kijeshi Monduli.
 
And how's this landed in an "International Forum"!? Au ameteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa majeshi ya Sudan kusini!?
 
Back
Top Bottom