Changia mawazo yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia mawazo yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAGIMBO MJUNI, Sep 28, 2012.

 1. K

  KAGIMBO MJUNI Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Wahenga walinena, "akili ni nywele, kila mtu ana zake" nimekuwa nikisoma somo la History takriban miaka sita (yaani tangu 4m one mpaka 4m6) kuna nadharia mbalimbali nilizokutana nazo zilizo wekwa nawatu kutokana na uono/mtazamo wao. kama mtu ninaye heshimu hisia za mtu niliheshimu hisia zao na bado nadharia kibao ninazo kutana nazo hadi hii leo bado naziheshimu laki lazima nikosoe pale napoona pana makosa ya kibiandamu.
  Pana nadharia ya wana historia inayodai bianadamu tumetokana na NYANI. Ya kwamba binadamu tulianza kama nyani walivyo tukaexperience mabadiliko kutoka kwenye uhalisia wa nyani mpaka tukawa CHIMPANZEE tukapata mabadilikooo mpaka HOMOSAPIENCE kama hatua ya mwisho ya mabadiliko tukiwa na uwezo wa kusimama kwa miguu miwili badala ya pale tulipokuwa tukitembea kwa miguu minne.
  Baadhi ya watu wanacritisize hii theory kwa madai ya kuwa mbona nyani wa leo hawabadiliki ili kutokea binamu wengine. Lakini bado cha kustaajabisha ni kwamba theory hii hukamilishwa na wezetu weupe kwa kurefer kwetu waafrika kwamba kuhakiki ukweli wa theory hii watazame waafrika. Sasa basi, kama wewe ni muafrika halisi na unaungana na mimi kuwa madai ya nadharia hii sipo sio sahihi, taja sababu unazo ziona kama zinaonesha kuwa sio kweli kuwa Muafrika ndo reffernce ya kuthibitisha origination ya binadamu kutoka kwenye Nyani/sokwe[/FONT]
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Umetumia maelezo marefu sana kutoa hii hoja. Lakini suala ni kwamba hawakuwa Nyani bali walifanana na nyani. Hii haimaanishi waafrika bali wanadamu wa race zote. Na tunaendelea kubadilika kulingana na mabadiliko ya tabia nchi lyfstyle science and technology. Mzungu wa mwaka 8000bc sio sawa na mzungu wa leo. Same applies to all races
   
Loading...