Waongo hawa wataumbuka au watavumbua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waongo hawa wataumbuka au watavumbua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Sep 26, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  [h=5]
  Madenti wa5 wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Bahati mbaya wakanywa pombe mpaka mida mibaya na hivyo wasingeweza kufanya mtihani huo kesho yake.

  Wakatunga uongo wa kwenda kumdanganya mwalimu wa somo husika, kwamba walikuwa kwenye harusi na wakati wanarudi gari yao ilipata pancha na wakavamiwa na vibaka na kuibiwa na kupigwa.

  Yule lecturer alikubali na akawapa siku 3 za kujiweka sawa na kujiandaa na special exam. Siku ya mtihani wa special yule lecturer aliwapa mtihani na aliwasimamia mwenyewe.

  Mwongozo wa mtihani ilikuwa kama ifuatavyo:


  • Mtihani huu ni kwa wanafunzi watano

  • Ili wafaulu majibu yao ni lazima yawe sawa, na yakiwa tofauti wote wanapata ziro na wanafeli
  • Mtihani huu una maswali matano na lazima yote yajibiwe.

  Maswali ya mtihani yalikuwa hivi:

  1. Harusi ilifanyika katika ukumbi gani?
  2. Gari mliotumia mpaka mkapata ajali/pancha linaitwaje?
  3. Ajali imetokea eneo gani?
  4. Nani alikuwa dereva?
  5. Tairi lipi ilipata pancha, la mbele au ya nyuma?

  NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!



  [/h]
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimecheka kweli, ngoja nilale sasa siku yangu imeisha vizuri
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  :-*:frusty: ni balaaa!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapo hakuna ujanja lazima ilikula kwao
   
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo ndugu yangu lazima waingie chaka. NJIA YA MUONGO NI FUPI, ingawa wanasema UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU ila kwa hapo hawasalimiki.
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ndio raha ya kuwa msomi, usikubali kudanganywa kirahisi
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Yericko Nyerere kaka huo mtihani duh ningemwambia mwalimu baada ya ajali nimesahau kila kitu hata hapa sijui niko wapi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hehee huenda walishajipanga, ngoja tusubiri wamalize huo mtihani
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ungeulizwa umejuaje kuwa umechelewa mtihani? umejuaje kuwa unaeongea nae ni mwalimu wako?
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unafaa kufanya kazi NECTA utakamata mijizi yooote ya mitihani...
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ungeulizwa umejuaje kuwa umechelewa mtihani? umejuaje kuwa unaeongea nae ni mwalimu wako?
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kuna watu hapa utagombana nao ukitaja NECTA. Mie nitakuruka bureee heheee
   
 13. t

  tenende JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapa ningekuwa mimi ninge - ROTATE!
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hehee matokeo ndio mwamuzi
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duh! Ama kweli njia ya muongo fupi :smile:
   
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Tena fupi kama maisha ya nzi
   
 17. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Hii nimeisoma Wapi vile kama Miaka Sita iliyopita...???? :A S 39: :A S 39:
   
 18. F

  Froida JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Toka asubuhi nilikuwa na masononeko lakini sasa na kauka kicheko ahsante kwa kuleta furaha katika siku yangu
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  oooho pole sana mkuu, naamini sasa umerudisha amani moyoni
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Itakuwa hapahapa jf, kumbuka jf ni kisima cha fikra machipuko
   
Loading...