Usikikose kitabu hiki

HURUMA JOSEPH

Member
Sep 28, 2012
71
12
Kitabu cha lazima kwa Walimu, Watunga sera , Waandishi wa vitabu, Wahariri na Wanaithibati.

Lipi ni jina sahihi la chombo kinachosimamia maendeleo katika kata? Je, ni KAMATI YA MAENDELEO YA KATA (Ward Development Committee) au "HALMASHAURI" YA MAENDELEO YA KATA -Ward Development Council? Je, ni kweli katika mfumo wa serikali za mitaa Tanzania kuna halmashauri katika ngazi ya kata? kama haipo kwanini inafundishwa mashuleni?



Je, ni kweli cheo cha Katibu Tarafa (Divisional Secretary) bado kipo au kilibadilishwa? na kama kilibadilishwa ni toka lini? na Je, Hansard za Bunge na hata sheria zinasemaje juu ya cheo hiki. je, mashuleni wanafunzi wanafundishwa vipi?
Je, ni kweli wenyeviti wa vijiji ni wajumbe kwenye vikao vya Baraza la Madiwani (FULL COUNCIL) kama ambavyo inafundishwa katika shule za msingi na sekondari?

Je, unajua kuwa shirika la Umoja wa Mataifa la GATT - General Agreement on Tariffs and Trade liliuwawa tangu mwaka 1995 na nafasi yake kuchukuliwa na WTO- Ward Trade Organization? je, kwanini hadi sasa karibu miaka 20 waandishi wa vitabu vya kiada na ziada Tanzania bado wanalitaja katika orodha ya mashirika ya Umoja wa Mataifa kama shirika hai?


Hivi ni kweli UNICEF ni United Nations International Children Education Fund kama ambavyo vitabu vyetu vya kiada vinatuelekeza?


Je, nembo yetu ya taifa inafundishwaje? yale mazao mawili chini ya bibi na bwana vipi mbona kuna hadithi tofauti tofauti kwenye vitabu? mara chai na kahawa, mara kahawa na pamba mara Karafuu na pamba. Loo! hadi unachoka. Mpiga Chapa wa serikali ambaye ndiye mwenye dhamana ya nembo yetu tukufu anasemaje? Soma barua aliyomwandikia mwandishi wa kitabu hiki cha ajabu na mtafiti Bw. Huruma K. Joseph (0768590418)


Haya na mengine mengi yanapatikana kwenye kitabu kinachoitwa - 40 BIG LIES IN CIVICS FOR TANZANIA SCHOOLS ambacho kipo madukani na kinapatikana kirahisi sana amazon kwa kubofya kiunganishi hiki hapa chini.


http://www.amazon.com/dp/B009GDDBJY
 
Back
Top Bottom