Utapeli kwa wapenda vya bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli kwa wapenda vya bure

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Don, Sep 28, 2012.

 1. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Jamaa anajiita salama jabir/sina hakika kama ndiye mwenyewe kama anavojitambulisha,anadai ana huduma ya tigo mixshare(kwa wateja wa yigo tu) ambayo hulipiwa 3500 kwenda no. Wanayoitoa ambayo imesajiliwa kama lwelo emanuel ,na baada ya kuunganishwa unapewa serial master no. Ambazo zinakuwa badala ya vocha na kuziingiza baada ya hapo utapiga simu,internet na sms bure bila kikomo,nimejaribu kuwasiliana na tigo wameniambia hawana uhusiano wowote na hawa watu,huu ni utapeli,wapenda vya bure muwe makini msijepigwa mchanga wa macho.wengi wameshalizwa
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,351
  Trophy Points: 280
  hujaeleweka bado, tulia, jipange sawasawa kisha shusha data
   
 3. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Nini ambacho hujaelewa hapo? Au ndo wewe nini? Samahan lakin
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Mix share ni nini?
  Kwa nini lazima iwe tigo?
  Wanaibaje?
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Zipigwe!
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Salama Jabir tunayemjua ana mkataba na Zantel kupitia Epiq BSS...huyu wa Tigo ni yupi?
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wapenda ugomvi utawajua tu...!
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..............................................................hizi nukta zinawakilisha kicheko nilichokiangusha umenichekesha sana mazee,ila acha uchochezi.
   
Loading...