Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
0 Reactions
60 Replies
8K Views
It is no longer doubtful if Lowassa shall remain a notable story maker for number of years in Tanzania media industry. Every step he makes is to be added up in his political channel, some argue...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii nimeipenda Scoundrels who neglect parents Some of Nairobi’s top achievers walk proudly with executive iPads and drive state-of-the-art cars, yet their parents are among the poorest of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa ni dhahiri kabisa kwamba serikali ya CCM imekuja na mkakati maalumu wa kuivuruga Chadema, Ninapata ujasiri wa kuyasema haya kwa sababu matukio yanayotokea sehemu mbalimbali nchini kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza wakuu hizi pikipiki aina ya boxer ziko fresh? Hazisumbui? Na bei yake ikoje na anaetaka kufanya biashara na mimi ani pm Nitashukuru kwa mawazo yenu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mugabe ageuka mbogo dhidi ya mwandishi wa habari. Angalia video hii. http://link.brightcove.com/services/link/bcpid1137883380/bctid1640107138
0 Reactions
3 Replies
2K Views
maji ya kunywa ya nayotengenezwa na bonite bottlers ltd,aina ya kilimanjaro nayo yameisha anzwa kuchakachuliwa!kwani ni maji pekee yaliyokuwa yakiaminika kuwa ni salama,ila cha ajabu kwa sasa yapo...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Unprecedented power outages currently experienced across the country, Dar es Salaam and its environs in particular, result from dilapidated infrastructures, the government has stated...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Tunawapongeza viongozi wetu wote kuanzia Gorofani hadi sakafuni. Kwa kweli maisha ya watanzania yanazidi kushamili kila baada ya sekundeeeee!, tunampongeza mjomba wetu. wembe ni ule ule, kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani embu muangalieni dada anavyoangaika kurekodi maneno ya mtikilia kupitia simu zetu kweli mwajiri analijua hili mbonahivi???
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kuhitimisha mjadala uliokuwa unahusu maandamano katika kipindi cha kipimajoto ITV, Mdau mmoja alihitimisha kwa kuwaomba polisi wajitathmini ni kwanini wana vitambi? maana katika kila mauaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Top 10 African fastest growing cities - YouTube Miji ifuatayo ndiyo inayokuwa kwa kasi zaidi barani Africa na inadhaniwa kuwa hadi kufikia 2020 inaweza kuwa katika orodha ya majiji tajiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na kukithiri kwa uvaaji wa majezi,nguo za kubana(modal) na uvaaji wa suruali chini ya makalio katika sehemu za kazi tunaomba serikali hususa wizara ya utumishi itoe tamko la kukemea jambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mabadiliko ya Uongozi TAMWA: Valerie Msoka achuku nafasi ya Ananilea Nkya Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimepata Mkurugenzi Mtendaji mpya ambaye anachukua nafasi ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
WANANCHI wa kata tatu za Wilaya ya Moshi Vijijini, wamekumbwa na hofu kubwa inayofuatia kuibuka kwa vitendo vya ujambazi huku kukiwa na madai kuwa majambazi hao hao, wanatumia sindano za sumu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Zoezi la kuwawezesha wananchi kuwa na vitambulisho vya Uraia wa Tanzania litaanza kutekelezwa mwezi ujao kwa upande wa Zanzibar. Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa zoezi hilo imekamilika katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bado tukiendelea kufundishana ni vyema wazee wetu mkitok nyumban kumbukeni kufunga vifua vyenu jamani sikuhizi kuna watoto wadogo wakiona vifua miiliinasisimuka na wengine hata hiana awana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, naomba tujadili mada hii kwani hili swala la kununua maji yanayoletwa kwetu na mamlaka za taifa za maji Kama vile DAWASCO Mimi haliniingii akilini. Sasa hivi maji imekuwa ni biashara...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu, Hayo ndiyo maombi yangu kutoka ndani ya ndani (inside of the inside) ya moyo wangu. Wengine mnasemaje?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wote tunaifahamu marekani jinsi ilivyo na ubabe na nguvu kijeshi.Kama ilivamia Iraq na nchi nyingine nyingi, kulikoni leo imeshindwa kuwamalizia mbali wasomali hawa wenye AK 47s.NATO nayo,nchi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…