Namwombea Nape Aishi Maisha Marefu Ili Ashuhudie CHADEMA Itakavyowakomboa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namwombea Nape Aishi Maisha Marefu Ili Ashuhudie CHADEMA Itakavyowakomboa Watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gosbertgoodluck, Sep 9, 2012.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Hayo ndiyo maombi yangu kutoka ndani ya ndani (inside of the inside) ya moyo wangu. Wengine mnasemaje?
   
 2. biz

  biz Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Adui yako mwombee kuishi ili aone unavyo barikwa na mungu wa israel, mungu asiye shindwa ,mungu wa wenye mwili
   
 3. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45


  Nape is a big looser. Vujana wote wako chadema na soon tunachukua nchi.Dhambi zote za wazee wa CCM atabeba yeye
   
 4. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,004
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikiri waandishi na wahariri wanatakiwa kuwaalika watu majina kwenye vipindi wanavyorusha kwa manufaa ya wasikilizaji na Watanzania kwa ujumla Leo star tv hawakututendeà haki kumpambanisha Nape na Mh Lisu.

  Mwenzake anatoa maelezo na facts Nape abebaki kubwabaja kama bata bila hoja.
  Kama kweli watu walio uawa Arusha walikuwa wanaenda kituo cha polisi mbona hadi leo kamati ya Kagonja hadi leo inashindwa bulwarks wazi. Mbele ya watu wa Arusha?
  Ni kweli mauaji yote yanayofanywa na polisi ni ya kisiasa na yana baraka za watawala.
  Ila ole wenu mnaoua kwa nja ya upanga kwa tamaa ya madaraka. Mtakuja kiburi mbele ya Mungu kila tone mlilomwaga.

  Mungu allipowapa hiyo nafasi hakuwaambia kisiasa bali aliwaagiza mkawaongoze
   
 5. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 6. K

  KALEBE JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  nami nakubali aishi muda mrefu siyo tu kuthibitisha mabadiliko ndani ya nchi hii bali pia kuona ujinga wake ambao ccm inazidi kumfunika kila kukicha naamini siku hiyo kama ilivyo ada kwa waumioni wa dini nape pia atakuwa mstari wa mbele kutubu yale yote aliyokuwa akiyatenda kwani tunaamini ya kuwa anayafanya yote haya kwa sababu bado hajajitambua amefnikwa na dhambi za ccm mungu mpe maisha marefu sana
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mi naomba niweze kuishi ili siku nione wezi wote wa mali za umma wanafikishwa mahakamani...Hamna raha nitakayokua nayo moyoni kama nikiona vigogo waliochota mali za nchi wakipelekwa segerea...that would be a dream come tru to me
   
 8. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Amen to your prayers.
   
 9. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nami naisubiri hiyo siku kwa hamu sana. Siku ambayo watanzania watashuhudia ccm ikikaa benchi kwenye kundi la vyama vya upinzani.
   
 10. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Itakuwa ni shangwe zaidi ya ile ya uhuru wa 1961. Kuuondoa utawala dhalimu wa mkoloni mweusi.
   
 11. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  JK aliingizwa na Makundi, anaondoka kwa Makundi, Atakayefatia CCM ataingizwa kwa Bunduki, na ataondoka kwa Bunduki. Nape na Mwigulu mvuto wao utaisha CCM pindi JK atakapo bwaga manyanga
   
 12. B

  Bwana Mwalimu Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maoni yangu! Nape anakazi ya kukishauri chama kutambua uwepo wa enzi, alama za nyakati, na hivyo kujenga ustaarabu wa kukubali mbio za kupokezana vijiti katika kutawala nchi! Hakuna kinachoitesa CCM zaidi ya kuandaa mazingira bora ya kupokeza kijiti! Hou ndio ustaarabu unaohitajika kwa watanzania ili kifikia hatua za kina Republican na Democrats au Labor na Conservative! Tuwaombee kukubali ishara na kupokea uhalisia!
   
 13. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haswaaaaaaaa, na sijui ataficha wapi msura wake mbaya!
   
 14. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ufisadi,rushwa n.k katika serikali na chama tawala CCM ni vitu ambavyo vimeshamiri katika chama hicho,ambacho kilikifanya chama hicho kuja na kauli ya kisanii"KUJIVUA GAMBA"Kama umekubari kujivua gamba ni wazi ukubari ya kua kuna magamba.Tulisikia kuhusu watuhumiwa kuandikiwa barua,wajipime na kujiondoa wenyewe,siku 90,watahenguliwa katika chaguzi za ndani za chama........Si siku 90,si kujiondoa wenye,si changuzi za ndani hakuna dalili za kujivua gamba.Matokeo yake katika chaguzi za ndani tunaendelea kushuhudia magamba yanaendelea kupeta na rushwa na mbinu chafu zimetawala katika chaguzi hizo na wale walionesha nia ya kupambana na ufisadi katika chama wanahenguliwa!!!!.Je kujivua gamba kwa CCM kiasilia tusubiri mpaka chama hicho kitakapokufa?Je ufisadi na rushwa ni sera ya CCM?Kwa CCM hii hata MWALIMU NYERERE NA SOKOINE WANGETOSWA!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...