Waandishi mnatutia aibu mnarekodi na simu zenu kweli??waajiri wanajua hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi mnatutia aibu mnarekodi na simu zenu kweli??waajiri wanajua hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 29, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,174
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Jamani embu muangalieni dada anavyoangaika kurekodi maneno ya mtikilia kupitia simu zetu kweli mwajiri analijua hili mbonahivi???
   

  Attached Files:

 2. awp

  awp JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mchina tena ya tochi
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  pengine ni kutojua dunia ikoje kwa sasa kiteknlojia! Tambua kuwa katika iisue ya kuchukua picha,sauti ya jambo fulani kwa ajili ya news unaweza kutumia njia yoyote iwe simu ,camcoder nk. siku hizi kuna cm zinazochukua audio bora kuliko taperecorder! Hivi unakumbuka tukio la kunyhongwa sadam husein lilichukuliwa na simu ya mkononi? JIPANGE
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Huyo ni wa Tanzania Daima. Mbowe huwa hawalipi kabisa waandishi wake.
  Tena huyo ana bahati ya kuwa na walau simu ya Mchina!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,233
  Trophy Points: 280
  Haya ndio maendeleo ya teknolojia, simu zina rekodi vizuri saidi kuliko voice recorder. Kwa wenye simu za samsung za android, zinarekodi video kwenye HD format, hapa Tanzania japo tuna TV zinazotumia HD kurekodia, Transmiter zote za matangazo ya TV ni analog, hivyo ukirekodi kwa simu unapata video bora kuliko hicho kinachoonekana kwenye tv!.

  Tembelea CNN i-report, uone jinsi wenzetu wanavyopost matukio kwa kutumia simu za mkononi!.

  Huyo dada anastahili pongezi, tena kwa Mtikila, ndio very important kila anachoongea kirekodiwe maana Mtikila ni ...
   
 6. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Pasco hiyo ya huyo dada siyo android. ni simu yenye limited functions tena ya zamani
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna wadau wanashindwa kwenda na wakati, mimi nina iPhone 4s ambayo quality ya audio na picha ni nzuri sana.
  Nimeacha kutembea na camera maana simu inatosha.

  Audio quality vile vile ni ya juu kiasi kwamba hizi recorders za bei rahisi hazifikii hapo.
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ila hiyo ya huyo dada siyo iphone kwa hiyo mada bado inaendelea
   
Loading...