Wizara ya utumishi itoe tamko juu ya hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya utumishi itoe tamko juu ya hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkulia, Sep 28, 2012.

 1. M

  Mkulia JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kutokana na kukithiri kwa uvaaji wa majezi,nguo za kubana(modal) na uvaaji wa suruali chini ya makalio katika sehemu za kazi tunaomba serikali hususa wizara ya utumishi itoe tamko la kukemea jambo hili. Kwa ujumla maadili ya utumishi yanatoweka kutokana na uvaaji huu mbaya. Fikiria mwalimu anayevaa vibaya hivyo akiwa darasani mwanafunzi atakuwa anajifunza nini kwake?:nono::nono:
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  unataka wavaeje?
  kama anamwaga nondo na anaeleweka haina shida
  mavazi sio ishu cha muhimu anatimiza wajibu?
  mbona huulizi mabosi wanaovaa suti lakini wanafanya mambo ya ajabu maofisini mwao.
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Utumishi wametoa mwongozo wa mavazi ila sijui kuhusu utekelezaji. Baadhi ya ofisi, hususani za binafsi, mtumishi akikiuka miiko ya mavazi anakatwa kwenye mshahara. Kama mtu anajua ya kwamba wanafunzi wanajifunza mengi sana kutokana na mienendo ya Waalimu wao hawezi kusema "kama anapinga nondo na kueleweka haina shida"
  Maadili ni kitu muhimu sana, niliwahi kusikia kupita chombo kimoja ya kwamba nchini Ujerumani mtumishi akikiuka miiko ya mavazi analipishwa faini.
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ulaya watu wanavaa vyovyote wanaenda kazini kuna kampuni moja watu wanavaa kaptura t shirt na ndala mtu anaingia ofisini (hasa makampuni ya Internet, IT) wana theory inasema pale hawataki mavazi wanaangalia brain yako
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli wewe ni C.T.U, ila naamini unaandika kwa kuwa "akili za kupewa hujachanganya na zako", kwa kuwa huko Ulaya ulikonukuu kila kitu kuna adhabu kwa wanaovalia nguo chini ya kiuno n.k
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Tanzania hamna kitu kiovu ambacho hakina sheria yake ya kukataza au kuzuia. Utekelezaji na usimamiaji wa hiyo sheria au kanuni sasa!! enghee....!!! utaupenda
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Kuna watu Humu JF ni wagonjwa, tena wagonjwa sugu
   
Loading...