jamani lakini pamoja na hayo yote lakini serikali yetu ni sikivu kwa asilimia 100 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani lakini pamoja na hayo yote lakini serikali yetu ni sikivu kwa asilimia 100

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oonatha, Sep 29, 2012.

 1. o

  oonatha Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunawapongeza viongozi wetu wote kuanzia Gorofani hadi sakafuni. Kwa kweli maisha ya watanzania yanazidi kushamili kila baada ya sekundeeeee!, tunampongeza mjomba wetu. wembe ni ule ule, kama mwaka jana. jamanitusipunguze spidi! maisha bora kwa kila man! imetekelezwa kwa kweli. tchaoooooooo!
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kakojoe ukalale dogo......
   
 3. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Maneno: Pamoja na hayo yote! Yanaonyesha hoja yote hii ni mzaha tu.
   
Loading...