Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg


Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
 
Je vipi haendi un mwaka huu au anaogopa madongo ya kuitwa sindbad?
 
Hongera presidee kweli kazi na dawa lakini angalia huyo mama kakusogelea sana
 
Si mara ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho. Huyo ndiye Rais wa wote.
 
halafu hawa jamaa ni wa ajabu, yaani badala ya wao pia kucheza wanakaa wanamuangalia mwenzao mmoja. Au ndizo stail zao za uchezaji!?
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg


Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
 
Mbona haya mambo sikuwahi kuyaona wakati wa Ben, Mwinyi au Nyerere? Kipindi hiki mambo tofauti kabisa jamani!!!
 
Back
Top Bottom