Mugabe-Mbogo

Tutamkumbuka sana shujaa huyu! kumbuka leo hii Afrika haina hata kiongozi mmoja mwenye kuthubutu kusema lolote against UK and Amerika hata kama wamekosea.Wote wamekuwa bendera fuata upepo.
Wameuza utu,Wameuza nchi zetu,Wameuza haki zetu,Wamegeuka kuwa vibaraka!!! na wengine wamekuwa ni wasemaji wa mataifa haya!!

Kumbuka uhuru wa nchi nyingi za kiafrika haukuwa habari nzuri kwa mataifa haya.Mpaka leo bado tunayashuhudia haya! bado wanataka kututawala,bado wanataka kutunyonya,bado wanataka kutuongoza,bado wanataka kutuchagulia yapi tuyaseme na yapi tusiyaseme!!

Kweli tutawakumbuka sana waasisi wetu! hawakufanikiwa sana kiuchumi lakini walisimama imara kuulinda utu wetu!

Wembe.
 
Tutamkumbuka sana shujaa huyu! kumbuka leo hii Afrika haina hata kiongozi mmoja mwenye kuthubutu kusema lolote against UK and Amerika hata kama wamekosea.Wote wamekuwa bendera fuata upepo.
Wameuza utu,Wameuza nchi zetu,Wameuza haki zetu,Wamegeuka kuwa vibaraka!!! na wengine wamekuwa ni wasemaji wa mataifa haya!!

Bila kupindisha (kumung'unya)maneno.

Robert Mugabe laments 'brutal and barbaric' death of Gaddafi
Zimbabwe's president Robert Mugabe has told a meeting of the UN General Assembly in New York Nato's action in 2011 had contributed to the death of Libyan leader Colonel Gaddafi.

The 88-year-old spoke haltingly as he condemned the death as a blow to the whole continent of Africa

Video ipo hapa BBC News - Robert Mugabe laments 'brutal and barbaric' death of Gaddafi
 
Zanu PF babu almaarufu kama Jogoo ndie mbabe na mwamba wa Africa aliebakia
eeh mwenyezi mueke lau miaka kadhaa huyu mtu azidi kuwaambia ukweli wanajifanaya mabwana wakubwa wa dunia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom