Boxer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boxer

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by majuto mperungu01, Sep 29, 2012.

 1. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza wakuu hizi
  pikipiki aina ya boxer ziko
  fresh? Hazisumbui? Na bei yake
  ikoje na anaetaka kufanya
  biashara na mimi ani pm
  Nitashukuru kwa mawazo yenu
   
 2. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii nayo ni ya kisiasa? watu wengine bana!!!!!
   
 3. Marry Hunbig

  Marry Hunbig JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1,517
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bange za ukubwani mbaya sana!
  Hizi nazo ni siasa?
  Idiot!!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  mapovu yote hayo ya nini? Kwa kama mnajua mkamwelekeza kwa lugha ya kistaarabu mtachubuka?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  mapovu yote hayo Mkuu ya nini? Kwa kama mnajua mkamwelekeza kwa lugha ya kistaarabu mtachubuka?
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  pikipiki ni messengers wa vifo tanzania

  ni death sentence........ pesa muhimu lakini tafakari imani yako na morals zako
   
 7. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,850
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  baba mi mi ninayo,nimenunua juzi tu.kama upo vema nunua ni bomba,hazina madhara.ila kama unapiga kinywaji mkuu unajitafutia kifo.
   
 8. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  powa mkuu bei zake vipi? Wasije wakanilamba cha juu
   
 9. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siumezoea sigara nyota kila siku siku ukiletewa nyingine lazima uhare uharo wa maji
   
 10. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ningekuletea ya tawala au wale wengine wanaotupia kama migambo ungefurahiiii ninasababu yangu kuweka hapa
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  tatizo ni behaviour ya waendesha pikipiki. Hata wangeendesha motokaa kwa style yao mbona wangekufa pia?
  Pikipiki imekuwa msaada mkubwa wa usafiri for pple who cant afford taxis.
   
Loading...