Oregon farmer eaten by his pigs
Authorities are investigating how a farmer in the US state of Oregon was devoured by his pigs.
Terry Vance Garner, 69, went to feed his animals last Wednesday on...
Kwa anayefahamu sababu za aliyekuwa rais wa Marekani. Mr George Bush kuja na kukaa Tanzania kwa siku nne. Akiwa na mwenyeji wake rais Kikwete. Nini hasa lilikuwa lengo lake.
Simba vs Yanga,...ni dose nono inatolewa na simba kwa wale wakijani si kawaida!...Kama gemu linawashinda baaasi nendeni kutunga shanga chini ya miti Bwagamoyo hukoooo!!...twachapa ka hatuwajui.
Kuna kila dalili kuwa wauza mafuta wamegoma tena kufuatia kushuka kwa bei ya Petrol na Diesel kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na EWURA kwa mwezi wa Octoba ambapo Petrol imeshuka hadi sh...
Ndugu zangu,
Ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya kukabiliana na panya,wadogo kwa wakubwa.Panya ukiweka sumu chakula hawakili,ila ukiweka chakula kisicho na sumu unakuta sahani...
Habari wakuu,
Pamoja na kuwa mwanachama namshiriki wa JF, huwa sielewi maana ya Views, mfano huwa kuna wachangiaji wa threadau post fulani utaona maelezo kama hayo chini:
Replies: 317
Views: 2,105...
wanajamvi hivi ni kweli tumefikia huku? nimeongea na jamaa yangu kule mafinga Iringa na kunambia zile power tila zinazotolewa na wizara ya kilimo na mifugo zinatumiaka kama ambulance ya kubeba...
Salam toka kenya ni kwamba baada ya re-structuring shirika la reli la kenya limepata faida ya Ksh 1.2b na wanaimani kuwa faida zaidi itapatikani katika siku zijazo. Sasa basi tuliowapa dhamana ya...
nipo kwenye daladala ya ubungo gongo la mboto hapa maeneo ya buguruni,dereva kashuka anamkabidhi gari deiwaka bila kificho katika foleni wanavuliana sare hapo barabarani hofu hawana.
Jambo la...
Uchaguzi wa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kwa kozi mbalimbali umeonesha kuna tatizo kubwa hasa baada ya Makatibu Muhtasi Grace Kivembele na Maizara yusuf Kudhaminiwa kwenda Manzini Swaziland...
Nimepita Chalinze asubuhi hii bus la Hai limeligonga bus la Al Saedy kwa nyuma,abiria wapo stranded pale kama km 3 kutoka Chalinze mjini. Inasemekana chanzo ni tabia ya madereva wa mabasi kutokeep...
"Mimi ni bora nikapigwe risasi lakini mchungaji akija kusoma risala aseme marehemu amekufa akipigania haki, kifo kwangu kimeshapoteza kumbukumbu na uoga kwangu umeshapoteza kumbukumbu, siogopi...
watanzania wenzangu . Mwenye kujua zaidi naomba na mimi anijuze ili niweze kuwajibu ndugu zangu wa vijijini wanaouliza mlengo wa chama cha chadema kama ni UJAMAA au UBEPARI.
Nimesoma maneno yafuatayo kutoka kwa msemaji wa TTL, Midladjy Maez, na kushindwa kuamini macho yangu;
Tayari mabehewa 14 yamekamilika ambapo kutakuwa na treni mbili ambazo kila moja itakuwa na...
ni mara nyingi watu tofauti hupokea msg kama hizi sawa kwa njia ya posta au kwa e-mail,isome hiyo msg na nipe ushauri wako,mara nyingi hizi msg hutoka south africa,ghana,nigeria,brasil,canada.
Sperm has become one of the hottest commodities being sold in Ghana and many parts of the world. The target market for this new booming venture are couples suffering from male infertility, lesbian...
Nimeona tangazo la Tanesco kupitia ofisi yake ya uhusiano ikitoa nafasi kwa wananchi kutoa maoni yao kuwa wanataka tanesco iweje ili kuboresha huduma. Kwa maoni yangu na jinsi ninavyoiamini Jamii...
MMILIKI wa Hoteli ya Coral ya jijini Dar es Salaam ametakiwa kulipa fidia ya sh milioni 10 kwa kuharibu mazingira ya viumbe wa baharini, huku akipewa siku 7 kuondoa kifusi cha mchanga...