Hatimae Muamsho watambulika kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae Muamsho watambulika kimataifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by silent lion, Sep 29, 2012.

 1. s

  silent lion JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Channel ya Al Jazeera imeonesha vuguvugu la Uamsho leo katika taarifa zake za habari na kueleza jinsi wazanzibari wasivyoutaka Muungano
   
 2. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeiona tangu jana inaoneshwa hii kitu masheikh kadhaa wamehojiwa na kudai hawautaki muungano...kazi ipo!
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Hawa watu wanafahamika kimataifa, kwani wamewahi kuandika waraka UN wakihoji kama Zaznibar ni nchi au siyo nchi.
   
 4. D

  Dr.Who Senior Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muamsho ni Maarufu kuliko Chadema ????
   
 5. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muda huu tu ndio Mkutano wa Uamsho umeisha Mahonda, katikati ya kisiwa cha Zanzibar, watu kwa maelfu wameshajaa njia zote kurudi makwao, mamia ya Malori yameelekea mjini na watu wana mawe na mabakora na wachache mapanga ila wote wana visu. Sura inatisha sana kwa wageni kuona umati huu unaotoa matusi ya kinyama dhidi ya nchi yao Tanzania. Ushauri wangu, SMS ifutwe mara moja na serikali moja ya Tanzania ianze kazi moja ya kujenga nchi na sio uchochezi.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wameanza tena? Mabomu ya moto hakuna? Virungu je? Polisi wapo na FFU? Zenj wataipata fresh hadi ifike 2015. Asante kwa taarifa.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,791
  Trophy Points: 280
  Jussa yupo hapo???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kundi la Amani Karume arudi kuongoza dini ngao yake tu
   
 9. Mzee wa ngano

  Mzee wa ngano Senior Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  SMS ifutwe mara moja na serikali moja ya Tanzania ianze kazi moja ya kujenga nchi na sio uchochezi.[/QUOTE]

  Mkuu nadhani hapo kwenye abbreviation ulitaka kuandika SMZ, SMS ni abbreviation ya maneno mengine.
   
 10. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Baba yangu aliniambia waislam hapa nchini wanaogopeka sana.
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hali hiyo siyo nzuri kwa kweli!! Kama hali hiyo itaendelea basi muungano na wenzetu utatushinda kwa sababu ambazo ni za ajabu sana. Sidhani kama nia ni kupata nchi yao
   
 12. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 188
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Sio nchini tanzania tu,bali dunia nzima.waulize wamarekani watakuambia baada ya lile li muvu lao la kumkashifu mtume
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hawa uamsho walimhitaji Mkapa ndo alikuwa kiboko yao, wala wasingekuwa barabarani hadi leo.
   
 14. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nyakati za kuwadhulumu na kuwatesa wailsamu zimekwisha...Hapa ikiuwawa muislamu na majeshi/polisi wa Tanganyika muelewe mkristo wa kitanganyika atauwawa vile vile...Jino kwa jino.
   
 15. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Polisi waliwalinda tu, Uamsho wamebadilisha mfumo, walishauriwa na bosi na mwanzilishi wao Amani Abeid Karume kwamb moto uendelee lakin wapunguze mwendo kona. Sasa wao wanakutana kuwasomesha wananchi kuichukia Tanzania, SMZ ifutwe au Tujiandae kwa Vita Kama ya Kenya na Somalia, sisi na Zanzibar ya Uamsho
   
 16. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  MUAMSHO???? Ndio nini hicho?
   
 17. D

  Dr.Who Senior Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Watoto wamjini huwezi kuwafananisha na wakuja !!
   
 18. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Vipi hoja ya mkataba imekufa? Mimi nawaunga mkono wavunje muungano tena ikiwezekana kesho kwa amani.

  Takashi chuki dhidi ya Watanganyika ya nini? Dini ipi inalingania mauaji? Hivi huoni kauli zako zinaudhalilisha Uislam?
  Kama Mtume Mohamad(S.A.W) aliishi na watu wa imani nyingine na wasio na imani wapi wewe umepata kuhusu mauaji?
  Unapoufungamanisha Uislam na kauli za kipuuzi unaidhalilisha dini Sheikh, ilimu haisemi hivyo. Futa hayo maneno (edit).

  Je, hao Watanganyika wakitumia busara zako mbovu WZNZ 350,000 watakuwa na hali gani Sheikh huku bara!
  Kwanini unakua Abnuwasi wa kukata mti uliokalia.

  Edit hiyo sehemu ndugu yangu, dini haisemi hivyo, na kama ndivyo basi ni ya WZN siyo tunayoijua dunia nzima.
  Too low Ahli wangu, jazba hadi unapoteza hata hekima kidogo zizlizobaki. Sheikh umeghafilikiwa na nini.
  Muombe Mwenyezi msamaha!
   
 19. b

  blueray JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa umepotoka; huwezi kulinganisha kundi la Uamsho lenye mlengo wa kigaidi na chama cha siasa kilichopo kwa mujibu wa sheria za nchi!
   
 20. b

  blueray JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ingawa baadhi ra watu wanadhani Uamsho ni matokeo ya udini, ukweli ni kwamba Uamsho ni matokeo ya kubakwa kwa demokrasia Na CCM Kama watawala. serikali inapaswa iruhusu mjadala Wa muungano Na wananchi watoe maamuzi yao bila pingamizi. waamue kama wanataka muungano Au la Na kama wanataka waamue ni muungano gani wanataka.
   
Loading...