CHADEMA ni chama cha KIBEPARI au UJAMAA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ni chama cha KIBEPARI au UJAMAA.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Oct 3, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  watanzania wenzangu . Mwenye kujua zaidi naomba na mimi anijuze ili niweze kuwajibu ndugu zangu wa vijijini wanaouliza mlengo wa chama cha chadema kama ni UJAMAA au UBEPARI.
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kinachanganya mazuri ya UJAMAA na UBEPARI!!
  Zinaitwa siasa za kilebelali.
   
 3. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kimekaa zaidi ki liberali ya mkondo wa shoto
   
Loading...